Mbowe acha kupotosha umma

Mbowe acha kupotosha umma

trl imebinafsishwa si chini ya moja
tanesco inagawanywa sehem tatu wazalishaji wasafirishaji na distributors. Fahamu bila uwekezaji ni balaa tazama c mkuu ht ww usiejielewa unacommunicate

Ni kutokujiamini kwa wajomba zako. Trl kuna kipi cha maana baada ya kubinafsishwa? Kama kuna nia ya dhati ya kuendeleza nchi hakuna linaloshindikana. Mashirika yangekuwa juu sana tu. Ndo muone madhara ya kueliminate azimio la arusha halafu mnapretend kumuenzi jk orijino.
 
akili yako ndogo kama ya f.u.n.z.a.ni bahati mbya kuwa mmekataa kufikiri kwa akili zenu.wale maprofesa wa safari ndio wanaowasaidia kufikiri
 
Majitu mengine ni majinga sana. Nyerere alishangaa sana na akasema wazi kuwa sera ya ubinafsishaji inaua mashirika ya umma na ni adui wa maendeleo ya jumla ya taifa. Sasa mnavyopinga view ya mh. Mbowe ni kama vile you are still illiterate. Nyie ndio kundi ambalo sisiyem wamefanikiwa kuwarubuni. Na mtakosa muelekeo.. Halafu mnajifanya kumuenzi baba wa taifa. Wazawa mnawekeza kwenye ngada(madawa ya kulevya)tu. Mkiambiwa ukweli mnapaniki mnapiga wazee. Nyie ccm ni Laana. Ni laana katika nchi hii.
 
Njaa za familia za wanaCCM zitaua nchi, hawa watu wana njaa kali sana kiasi kwamba hawajui wataishi vipi CCM isipokuwa madarakani, fanyeni kazi sio lazima CCM iwe madarakani muendelee kuiba fanyeni kazi
 
Back
Top Bottom