Mbongo utamjua tu

Mbongo utamjua tu

Hapo umenena, na.1 si sana kivile maana tunapendaga nasi tuonekane tunafit kwenye hizo hotel ila na. 2 na 3, swadakta kwa siye wabongo.
Ukitaka Kujua Mtu ni Mbongo Halisi anapokwenda kwenye Hotel za Kitalii ama Zile kubwa kubwa sio "Migahawa" mambo matatu uyatarajie ukiyaona ujue ni mmbongo mwenzako.

1. Hataki Kutumia Menu anamuuliza Muhudumu tu "Kuna Wali Nyama ama Chipsi Kuku??" hataki kabisa kusoma Menu.

2. Ukiona mtu amechukua Menu halafu anasoma Upande wa Kulia Kwenda Kushoto yaani anaanzia kusoma bei kisha ndo anaangalia chakula, ujue pia mbongo mwenzio.

3. Ukiona anapata tabu kutumia kisu na umma, kuliko kijiko ama maji ya kunawa basi jua mmbongo mwenzio usihangaike kumuongelesha kizungu.
 
duh! someone has made my day....yaani hayo yote mule mule...dah! nitaanza kubadilika kumbe huwa tunachunguzwa na weng...lol
 
Ukitaka Kujua Mtu ni Mbongo Halisi anapokwenda kwenye Hotel za Kitalii ama Zile kubwa kubwa sio "Migahawa" mambo matatu uyatarajie ukiyaona ujue ni mmbongo mwenzako.

1. Hataki Kutumia Menu anamuuliza Muhudumu tu "Kuna Wali Nyama ama Chipsi Kuku??" hataki kabisa kusoma Menu.

2. Ukiona mtu amechukua Menu halafu anasoma Upande wa Kulia Kwenda Kushoto yaani anaanzia kusoma bei kisha ndo anaangalia chakula, ujue pia mbongo mwenzio.

3. Ukiona anapata tabu kutumia kisu na umma, kuliko kijiko ama maji ya kunawa basi jua mmbongo mwenzio usihangaike kumuongelesha kizungu.

Mmmh ni shida
 
Dul.Nilikuwa najisikia vibaya nikapata wazo la kupitia jf nikumbana na hii.Mbavu sina.
 
Ukitaka Kujua Mtu ni Mbongo Halisi anapokwenda kwenye Hotel za Kitalii ama Zile kubwa kubwa sio "Migahawa" mambo matatu uyatarajie ukiyaona ujue ni mmbongo mwenzako.

1. Hataki Kutumia Menu anamuuliza Muhudumu tu "Kuna Wali Nyama ama Chipsi Kuku??" hataki kabisa kusoma Menu.

2. Ukiona mtu amechukua Menu halafu anasoma Upande wa Kulia Kwenda Kushoto yaani anaanzia kusoma bei kisha ndo anaangalia chakula, ujue pia mbongo mwenzio.

3. Ukiona anapata tabu kutumia kisu na umma, kuliko kijiko ama maji ya kunawa basi jua mmbongo mwenzio usihangaike kumuongelesha kizungu.

Hapo yaani mi mbongo to the core. Point zote zanihusu.
 
Jamani hiyo namba mbili ni wengi tu tuko hivyo hata wasio wabongo
 
Back
Top Bottom