Kaaazi kwelikweli.
Hapa ndo huwa inafikia sehemu naanza kuwakumbuka wana-philosophy."Kwa nini kuku alivuka barabara"bwahaahahahhahhaa.KAZI IPO
Mtu yuko serious anatafuta mchumba wewe unaleta utani. Kama huna la maana la kuandika kumsaidia huyu jamaa ili atimize lengo lake ni bora ukae kimya.
Kuna dada mmoja aliwahi kusema anatafuta mume hapa jf,wapo waliomkejeli na wapo waliomwambia hapa si sehemu muhafaka mimi nikiwa ni mmoja wao.Bado mie nasisitiza kutokana na uzito wa ndoa na dunia yetu hii ya leo,sidhani kama njia hii ya kutafuta mwenza inafaa,it doesn't matter how serious you are.
Simaanishi kwamba uwezi kufanikiwa la asha,but the probability nowdays equals to that probability of delivering safely a baby conceived outside the uterus
Nimeichukua hii toka kwa Michuzi.
Tafadhali naomba uniwekee wazi maombi yangu haya. Nina umri wa miaka 35 nikisoma na kufanya kazi hapa Marekani. Natafuta mchumba( dada wa kitanzania) kokote duniani mwenye nia ya kweli ya kuolewa.
Niko kwenye medical field. Iam 6 feet, great personality and ambitious. No special preference needed. Usijali wapi ulipo, jisikie huru kuniandikia and I will respect your privacy.
Sio lazima uambatanishe picha kwenye email yako ya kwanza, though unaweza kufanya hivyo ukipenda. You can leave me your phone number if you prefer and I will call you at your convenient. Tafadhali usijisumbue if you intend to play games. I won't respond.
Thanks.
mapenziyadhati@yahoo.com
tembelea Mwananchi Tanzania News Paper kuna sehemu ya kujisajili na unaweza kuangalia contact za wengine pia
huyo mtu anaonyesha anatafuta contacts za biashara email yenyewe inaonyesha kaifungua juzi sijui
Nimeichukua hii toka kwa Michuzi.
Tafadhali naomba uniwekee wazi maombi yangu haya. Nina umri wa miaka 35 nikisoma na kufanya kazi hapa Marekani. Natafuta mchumba( dada wa kitanzania) kokote duniani mwenye nia ya kweli ya kuolewa.
Niko kwenye medical field. Iam 6 feet, great personality and ambitious. No special preference needed. Usijali wapi ulipo, jisikie huru kuniandikia and I will respect your privacy.
Sio lazima uambatanishe picha kwenye email yako ya kwanza, though unaweza kufanya hivyo ukipenda. You can leave me your phone number if you prefer and I will call you at your convenient. Tafadhali usijisumbue if you intend to play games. I won't respond.
Thanks.
mapenziyadhati@yahoo.com
BAK Post hii ni kongwe zaidi hapa kuhusiana na masuala ya kutafuta wachumba, kwa kuwa tuliishi kama familia moja, na kwamba kila linalotukia kwenye jumuiya moja wakwanza kuguswa nalo ni mwanafamilia, nichukue fursa hii kuomba mrejesho wa ombi hili kama lilifanikiwa, na nitake kujua ups na down za couples hawa!
Mkuu Horseshoe Arch mie niliichukua hii toka kwa Michuzi, simjui muhusika wala sikufuatilia kama alifanikiwa au la.