Mbona yeye hajakingwa?

Mbona yeye hajakingwa?

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,662
Au protokali zinasemaje?
c9.jpg
 
huko ni wa kawaida sana.............mnyonge
 
Alikataa alitaka aonje ladha ya kudondokewa na barafu, siunajua bongo full joto.
 
Au protokali zinasemaje?
c9.jpg

Yani hapo jamaa anatamani amalize tu kuongea waondoke maana ni full theeeee....... theeee.... u know what....... i like to say....... !!!! full kujing'ata ng'ata.
Si unajua amezoea kuandikiwa na wakina Jan Makamba na yule Proffesa............
 
Hivi kuna siri gani ya viongozi siku hizi kutokufunga kifungo cha mwisho kwenye suti zao? manaa nimeiona mara nyingi sana hasa kwa JK?
Sio kwa marais tuu bali hiyo ni sheria ya uvaaji wa suti. wasiojua ndio hufunga vifungo vyote kama jacket la mvua.
 
Yani hapo jamaa anatamani amalize tu kuongea waondoke maana ni full theeeee....... theeee.... u know what....... i like to say....... !!!! full kujing'ata ng'ata.

punguza UKANDA,UDINI NA UKABILA Zipo kazi nyingi zenye fursa jitahidi
 
punguza UKANDA,UDINI NA UKABILA Zipo kazi nyingi zenye fursa jitahidi

Wewe ndo mwenye
UKANDA,UDINI NA UKABILA ila mimi sina mahali kwenye post zangu ambapo nimehusisha huo UKANDA,UDINI NA UKABILA.
 
Hivi aliyeshika mwavuli angesimama upande wa JK ingekuaje?
 
Huyo mzururaji akingwe vipi?watamkinga mara ngapi?wamemchoka kila siku kiguu na njia kwa watu kama hana kwake.
 
Hivi kuna siri gani ya viongozi siku hizi kutokufunga kifungo cha mwisho kwenye suti zao? manaa nimeiona mara nyingi sana hasa kwa JK?
Ndio kawaida ndugu yangu. Kama ni mvaa suti unapashwa ufanye hivyo. Hutakiwi kukifunga. lla nimeshangaa sana wabongo wengi wanaacha label kwenye koti hiyo haitakiwi. Hapa ulaya ukinunua suit kwenye maduka ya designers kabla hujatoka dukani label wanaitoa ila watu wengine utasikia usiitoe tafadhali. Mara zote ukihitaji kuelezewa unauliza kama ulivyofanya. Shukran
 
Hapo vasco anasema vien she nu tanzani ili ya bukuu de zanimo suvage, vu puve les prandi kom vu vule, e le sitoyan kone rien, alor ne enkiete pa (yaani, karibuni tanzania kuna wanyama pori wengi sana mnaweza kuwabeba vile mtakavyo na wananchi hawafahamu lolote, kwa hiyo msiogope)
 
Back
Top Bottom