Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,023
- 4,828
Halafu jambo la ajabu zaidi ni kuwa utakuta lijamaa na hata muandishi habari husika wamekaa upande moshi unapoelekea halafu wanaonyesha kweli wamefurahishwa na zoezi husika maana vicheko sio vicheko, story sio story.......! Mi naona jamaa huwa kama wanajifukiza kitu cha 'farm' live yaani!
WACHA BANGE IITWE BANGE NA WACHA MBUNGE WETU PENDWA AZITETEE!
WACHA BANGE IITWE BANGE NA WACHA MBUNGE WETU PENDWA AZITETEE!