Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,106
27,087
Nilipo maliza chuo mwaka 2011 sikutaka kabisa kukaa home. Infact nimeanza kukaa gheto toka nipo form five way back in 2005.

So nilipo maliza chuo fasta Nika Enda kupanga chumba mitaa fulani jijini Darusalama Mbali Na kitaa nilicho zaliwa Na kukulia..

Sikutaka kuishi karibu Na mitaa ya nyumbani kwetu...

Kwa Sisi watoto wa kiislamu kuchoma ubani Ni Jambo la kawaida Sana.

So kama kawaida nilikuwa nachoma ubani Kila ifikapo usiku wa kuamkia ijumaa.

Kwa Sababu nafahamu baadhi ya ndugu zetu wakristo kwa Sababu ya kukosa kwao maarifa sahihi ya kiroho ( Hosea 2:18) wanakuwaga na phobia Sana Na Moshi wa ubani hasa ubani ujulikanao kama ubani Maka ( Frank incense) so nilikuwa najitahidi kadri ya uwezo wangu kuhakikisha Moshi hauvuki kwenda vyumba vya wapangaji wenzangu Kwa Sababu baadhi Yao walikuwa wakiristo..

So nilikuwa nikisha washa mkaa ukawa tayari kwa kuchoma ubani ntajifunika gubi gubi na shuka then ndo natosa ubani wangu kwenye chetezo.

Hata hivyo still bado Moshi kidogo ulikuwa unavuka na kwenda vyumba vya jirani Ingawa sio Kwa kiasi kikubwa kihivyo..

Bana we, ilikuwa kila nikichoma ubani hata kabla sijamaliza Dua zangu nasikia jamaa ( mpangaji mwenzangu) ana bisha hodi..

Alikuwa anapiga mlango mpaka ahakikishe nimefungua na kila nikifungua ananiambia aisee kuna moshi unatoka kwako, uzime.

Alikuwa ananikwaza sana huyu jamaa. And as if that is not enough akaenda kumwambia na mwenye nyumba kwamba kuna mtu anachoma ubani usiku.

Bahati nzuri mwenye nyumba ni mtoto wa mjini na yeye mwenyewe ni mswahili so akawa ananiacha. Kuna boya mjinga mjinga anasema eti unachoma ubani unamkwaza ila usimjali sana kwa sababu mtu mwenyewe mgalatia halafu ametoka mkoani mjini ameletwa na chuo kwa hiyo wewe ishi naye hivyohivyo..

Three months later nilitoka katika nyumba hiyo nikaenda kupanga nyumba nzima ya peke yangu ambako huko nilikuwa huru kuchoma ubani na mafusho kila siku kulingana na siku husika plus kuwaleta mashekhe na watoto yatima kwa ajili ya visomo vya usiku, kuchinja kondoo nakadhalika..

Two years later nikahamia kwenye nyumba yangu mwenyewe..

Fast forward ten years later baada ya kuondoka kwenye Kile chumba nilichokuwa nimepanga:

Last weekend nilienda kwenye duka la kuuza dawa za kisuna kununua ubani. Hamad!!! Nakutana uso kwa macho na jamaa.

Amechoka Hatari.

He looks like he died last week.

Viatu suruali na shati alilovaa they look like the ones which were used by Mr. Noah in the ark..

Jamaa alikuwa mpole sana aliponiona .

Alikuwa anajikuta Yohana Mbatizaji sasa hivi na yeye anajua ubani mashtaka na chetezo ni nini..

Wagalatia bana yani ukichoma ubani ule moshi wa ubani huwa wanahisi kama majini yanawavaa wanapo nusa harufu ya moshi huo.

Wanaunyanyapaa kama mti wa shetani vile wakati kwenye bible imeandikwa hapo Mwanzo alikuwepo neno nae neno alikuwa Kwa Mungu nae neno alikuwa Mungu vitu vyote visingeweza kufanyika pasipo neno . So hata mti wa frankincense ( ubani Maka) uliumbwa Na neno pia ambae Kwa wa wakristo huyo NENO Ni Yesu.

Ndio maana Mungu anasema Watu wangu Wana angamia Kwa kukosa maarifa ( Hosea 2:13)

Is it not in ur Bible kwamba Yesu alipo zaliwa mamajusi walipeleka zawadi ya Ubani Na Manemane?

Who instructed you guys to demonize Frankincense and myrrh?

Big up Sana Kwa kanisa katoliki, wao WANAJUA nguvu ya Ubani Ni Nini ndio maana kwenye ibada zao huwa Wana Choma ubani.

Moja Kati ya faida ZA ubani Na/au mafusho mengineyo Ni kufungua Anga la sayari husika kulingana Na siku husika ili kutumika kama point of contact Kati yako wewe unae omba Dua Na Malaika WANAO tawala sayari/siku hiyo. Hili Ni Moja Tu Kati ya matumizi ya Ubani.



Moral of the story: Mnaoishi kwenye nyumba za kupanga acheni kuwabugudhi wapangaji wenzenu wanao Choma ubani.

Na nyie mnao Choma ubani kwenye nyumba za kupanga just be proud of urself. Msione aibu kuchoma ubani. It is okay for you to do that
 
Wavaa kobazi bhna..wanavyojipendekeza kanisa katoliki soon..mtaanza na kusifia mdudu..huku mkimla taratibu..pia acha unafiki kwahiyo furaha yako ni kuona mtu kawa fukara na masikini..sidhani kama dini inafundisha hivyo...acha roho mbaya na unafiki.

#MaendeleoHayanaChama
Sijafurahi ila nimeshangaa kukutana Na Usher wa kanisani anaulizia Bei ya Ubani Mushtaq
 
Back
Top Bottom