Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
![]()
Mikanda ya Camera imejaa ndo maana wanatazama tuh...!
Hapo hakuna cha kushangaa.

Ile mikanda ilikuwa noma sana. Mtu unaazima camera kwa tabu sana na masimango, unaenda kupiga picha kwenye graduation yako, ukienda kusafisha unaambiwa zimeungua!!!

Duh unakumbukumbu nzuri gwa kukaja, Ngimba gwa liko masiku ghala,,,????

hahaa hapa umenifurahisha sana, kweli siku hazigandi.
mukamanya I kiswahili?Duh unakumbukumbu nzuri gwa kukaja, Ngimba gwa liko masiku ghala,,,????
mukamanya I kiswahili?
Tumenye Kikolo.
Tulikuwa tumerudi Makandana kidogo.
Wanaaangalia nyonyo tu
Lakini wapo nyuma yake, nahisi kuna kingine chenye mvuto/interest kwa nyuma.
Duh unakumbukumbu nzuri gwa kukaja, Ngimba gwa liko masiku ghala,,,????
Gwa kukaja we acha tu.. Ila R.I.P picha zangu za graduation ya UKWATA
hahaa hapa umenifurahisha sana, kweli siku hazigandi.
Kwa kweli camera ya kidigitali ilikuwa kipaumbele nilipoanza kazi.. kwa kuwa nilipokuwa form six kuna jamaa nilimuona nayo nikamuogopa maana niliona yuko"matawi ya juu"