Mbona wanawake wa siku wanaabudu ngon

Mbona wanawake wa siku wanaabudu ngon

Kwanini wanawake wa siku wanaonekana kumpenda,kuendwkeza,kujisifia na kuabudu mambo ya Ngono?
Ripoti ya TACAIDS mwaka huu inaonyesha wanawake wanaongoza kwa maambukizi ya Ukimwi na ni kuanzia miaka 15 ndo walioathirika zaid...na kibaya zaid hakuna mikakati yakumnusuru mtoto wa kike,serikal iko bize namama,mama,mama.

...kama mzaz mchunge mwanao,watoto wa kiume wanageuzwa wa kike kwa kasi ya ajabu na wa kike wanagongwa kwel, na wazee..vijana wa kiume wa rika lao hawana hela,hawana ajira yan ni vurugu mechi
 
Back
Top Bottom