Mbona wameachana

Mbona wameachana

siyo kununa tu nimechukia sana vijana wa tabia kama yako ni hovyo sana badala ya kuwaombea heri wenzio unavizia waachane unasikitisha sana,ungejua maumivu ya kuachana na mke usingechekelea,mnaacha na mahawala tu macho yana watoka.kama kuna kitu unatakiwa kukiogopa kama ukoma ni mke wa mtu...kweli wewe sikio la kufa.
Pole sana. Nina uhakika hujui ulichokiandika. Baki na hasira zako.
 
Hapana. Ndoa bado ni njia bora zaidi ya maisha kama ukipata the right partner

Mimi kama mimi siamini kama right partners wanaexist hapa duniani..ila naona wapo watu wenye unafauu tu wa kusukuma gurudumu la ndoa, ndo kama hivi wanadumu miaka miwili, mitano kila mtu anachapa lapa.
 
japo sijajua chanzo cha stori ni nini maana hiyo ya mwanzo sikuisoma, ila inaonyesha kama bado una mfeel vile, ila nisingekushauri kumrudia hata kama atataka kujirudisha kwako yeye mwenyewe

kiukweli kwa ninavyojisikia sasa hivi, kama kuna ninachoweza kufanya kumuepusha na matatizo kama hayo aliyopitia, nitakifanya bila kuhesabu gharama. Hata juzi tulivyoonana nilimwambia.
 
siyo kununa tu nimechukia sana vijana wa tabia kama yako ni hovyo sana badala ya kuwaombea heri wenzio unavizia waachane unasikitisha sana,ungejua maumivu ya kuachana na mke usingechekelea,mnaacha na mahawala tu macho yana watoka.kama kuna kitu unatakiwa kukiogopa kama ukoma ni mke wa mtu...kweli wewe sikio la kufa.

angekuwa na fikra za uanaume na utu uzima asingeendelea kuongea uozo huu lakin kwasababu akili yake bado ipo kwenye chupi ndio maana anaendelea kukenua
 
Mimi kama mimi siamini kama right partners wanaexist hapa duniani..ila naona wapo watu wenye unafauu tu wa kusukuma gurudumu la ndoa, ndo kama hivi wanadumu miaka miwili, mitano kila mtu anachapa lapa.

Mimi naamini right partners wapo lakini wakati mwingine hata wanapokutana hawajitambui au hawatambuani. Halafu wanakuja kujitambua when it is already too late. Lakini mimi nasema better late than never.
 
angekuwa na fikra za uanaume na utu uzima asingeendelea kuongea uozo huu lakin kwasababu akili yake bado ipo kwenye chupi ndio maana anaendelea kukenua

E bwanae sijahusika na kuachana kwenu. We anza mbele huko, kama ushashindwa pisha wenzio.
 
kiukweli kwa ninavyojisikia sasa hivi, kama kuna ninachoweza kufanya kumuepusha na matatizo kama hayo aliyopitia, nitakifanya bila kuhesabu gharama. Hata juzi tulivyoonana nilimwambia.

mmh, kila la kheri
 
Hapo wivu unao na roho inauma.

Labda kweli, let's assume ni kweli. Kwa hiyo naona wivu kwa kuwa wameachana au? Talaka imetolewa na mahakama na wamegawana mali. Kila mtu kachukua hamsini zake kasepa. Mi namwonea nani wivu hapo?
 
Ex-GF wangu alipoolewa mwaka 2010 desemba nilileta thread hii hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/94798-ex-gf-wangu-kaolewa-jana.html.

Watu walininanga na kunisuta sana eti ni wivu unanisumbua. Walionielewa ni wachache sana. Juzi tuesday nimekutana naye kaniambia wameachana, tena kwa talaka kabisa ya mahakamani.

Jamani muwe mnakubali tu kuwa kuna ukaribu fulani ukishakuwa nao na mtu wako, basi hata kwa hisia tu unaweza kujua kinachomfaa na kisichomfaa.

Mimi nilipokuwa naye sikuwahi kumuuliza size ya kiatu au ya bra, nikifika dukani nikitazama tu naona hiki kitamtoa na kweli hata mwenyewe alikuwa anashangaa. Nilijua hisia zake na taste yake, yaani kwa karibu kila kitu.

Anyway, yaliyopita yamepita. She is happy with her child and professional life, kiuchumi pia yuko vizuri. Mimi pia bado niponipo.

Kuna waliotabiri kuwa ningeleta thread nyingine kumhusu, basi utabiri wao umetimia.

Mtoa mada bado naona watu wanakusakama kwa maneno makali, ila mie nimekusoma kitofauti, kwamba kuleta huu uzi leo ni kuwaprove waliokusakama mwaka 2010 kuwa mwenzio ataishi maisha mazuri milele nawe ulijua aliyempata hampendi kikweli kweli na hamjulii huyo ex wako hivo ukaona huruma ataishi kwa tabu.
Ihope hukuwa na mawasiliano nae wakati yuko kwenye ndoa na hukuwa unafatilia maisha yake ni kuwa umekutana nae tuu na akakwambia kuwa ameachana na mumewe. Kama ni hivo wewe umeona uje hapa kuwataarifu wale waliokunanga mwaka 201.
Ila sasa kinachofuata baada ya ex wako kuachana na mumewe ni wewe kutokuwa karibu naye hata kama yeye ataonesha kutamani hilo. Kwasababu huwezi jua sababu iliyomfanya kutokubali kuolewa na wewe wakati ule hata akikubali kukaa na wewe sasa bado akipata mwingine anayemuwaza moyoni mwake atakutoroka tena na waweza jiua kwa ajili hiyo. Ni vema mkawa marafiki tuu akam utaweza kuhimili ukishindwa mkimbie kila akikutafuta itakujengea heshima (weka tamaa zako nyuma). Ni vema pia ukatafuta wako mwingine uoe kuliko kuendelea kuwepo wepo maana utashawishika kumrudia huyo ex wako usijefanya hivo u fail tu marry her before you can not marry her now.

Uhusiano wenu ulikuwa wa one love relation yaani wewe ulimpenda sana ex wako hata ukamjua from outside to inside ila yeye hakukupenda kivile ndo maana akaolewa na mwanaume mwingine. Unajua iko hivi ukiwa na interest na kitu utataka kukijua deep inside na zaidi na zaidi hiko kitu kikoje, tabia yake, kina sifa gani ukifanya hivi kitakuwaje n.k. na kama kitu huna mashiko nacho unaweza kuwa nacho tuu na wala usitake kukijua kinasifa na tabia zipi. Ndivyo ilivyokuwa kwenye uhusiano wako na ex wako wewe ulimpenda mnoo hata kumjua na kumsoma na ungeishi nae ange enjoy sana ila kwa sababu zake anazozijua hakuolewa na wewe na kuishia mikononi mwa asiyemjua fit. Pia yeye hakuwa na mashiko na wewe maana angekushiba kama ulivomshiba wewe asingekuacha.
 
Mimi naamini right partners wapo lakini wakati mwingine hata wanapokutana hawajitambui au hawatambuani. Halafu wanakuja kujitambua when it is already too late. Lakini mimi nasema better late than never.

Labda wapo....
afu nakushauri kaa mbali na huyo mwanamke hata akijileta mtimue, ukijifanya huruma A mahaba A....muda si mrefu utaleta thread tena "nimevurugwa"
 
Roho iliuma ulipoona anaolewa na mwingine ni vzr kuachana naye na kutafuta mwingine ambaye mtaelewana.
Labda kweli, let's assume ni kweli. Kwa hiyo naona wivu kwa kuwa wameachana au? Talaka imetolewa na mahakama na wamegawana mali. Kila mtu kachukua hamsini zake kasepa. Mi namwonea nani wivu hapo?
 
Ndio sababu sitaoelewa na mtu alafu baadaye tuachane.

Haya maisha bora ujitafutie katoto kamoja au wawili maisha ya endelee
 
Mtoa mada bado naona watu wanakusakama kwa maneno makali, ila mie nimekusoma kitofauti, kwamba kuleta huu uzi leo ni kuwaprove waliokusakama mwaka 2010 kuwa mwenzio ataishi maisha mazuri milele nawe ulijua aliyempata hampendi kikweli kweli na hamjulii huyo ex wako hivo ukaona huruma ataishi kwa tabu.
Ihope hukuwa na mawasiliano nae wakati yuko kwenye ndoa na hukuwa unafatilia maisha yake ni kuwa umekutana nae tuu na akakwambia kuwa ameachana na mumewe. Kama ni hivo wewe umeona uje hapa kuwataarifu wale waliokunanga mwaka 201.
Ila sasa kinachofuata baada ya ex wako kuachana na mumewe ni wewe kutokuwa karibu naye hata kama yeye ataonesha kutamani hilo. Kwasababu huwezi jua sababu iliyomfanya kutokubali kuolewa na wewe wakati ule hata akikubali kukaa na wewe sasa bado akipata mwingine anayemuwaza moyoni mwake atakutoroka tena na waweza jiua kwa ajili hiyo. Ni vema mkawa marafiki tuu akam utaweza kuhimili ukishindwa mkimbie kila akikutafuta itakujengea heshima (weka tamaa zako nyuma). Ni vema pia ukatafuta wako mwingine uoe kuliko kuendelea kuwepo wepo maana utashawishika kumrudia huyo ex wako usijefanya hivo u fail tu marry her before you can not marry her now.

Uhusiano wenu ulikuwa wa one love relation yaani wewe ulimpenda sana ex wako hata ukamjua from outside to inside ila yeye hakukupenda kivile ndo maana akaolewa na mwanaume mwingine. Unajua iko hivi ukiwa na interest na kitu utataka kukijua deep inside na zaidi na zaidi hiko kitu kikoje, tabia yake, kina sifa gani ukifanya hivi kitakuwaje n.k. na kama kitu huna mashiko nacho unaweza kuwa nacho tuu na wala usitake kukijua kinasifa na tabia zipi. Ndivyo ilivyokuwa kwenye uhusiano wako na ex wako wewe ulimpenda mnoo hata kumjua na kumsoma na ungeishi nae ange enjoy sana ila kwa sababu zake anazozijua hakuolewa na wewe na kuishia mikononi mwa asiyemjua fit. Pia yeye hakuwa na mashiko na wewe maana angekushiba kama ulivomshiba wewe asingekuacha.

hamna mmbea tu. Amehusika kutenganisha ndoa za watu huyu. Nmiongon mwa waaofuatilia maisha ya watu huo ndio wanga wa mchana kweupeee.
 
Asante sana kwa kunielewa. Umeandika sahihi kabisa kuhusu sababu yangu ya kuleta huu uzi.
Ila napenda kusahihisha kuwa hajawahi kunikataa, mimi ndiye nilikuwa sieleweki kwake alipokuwa anauliza habari ya ndoa. Sikuwa tayari. Halafu tangu alipoanza kusisitiza kuhusu ndoa sikumtendea vizuri sana, hilo nimekiri tangu mwanzo. Hata mimi nilikuwa sijielewi kipindi kile, naona kama alikuwa mbele yangu sana kwenye hayo mambo. Basi tulipokubaliana kuwa haiwezekani tukakubali kutenganishwa na hizi mishemishe za kutafuta riziki, mikoa tofauti. Hadi alipokuja kunitaarifu kuwa anaolewa, na nikamuunga mkono maana tulishakubaliana kutakiana mema katika maisha. Nilipomuona yule mchumba wake siku ile ya send off yake, yani kitu nisichokielewa kikaniambia ndani ya roho yangu kuwa this is the wrong guy, given what I know about her. Na nikabaki kwenye masikitiko kuwa mimi na yeye tunatakiana heri kwenye maisha lakini hii aliyopata naona kama ni shari, si heri. Na yametokea.

Na baada ya kuolewa hatukuwasiliana tena. Tumepeana namba upya juzi tulipoonana kwa bahati tu kila mtu akiwa kwenye shughuli zake.

Naweza kusema ni instinct tu kutokana na ukaribu tuliojenga.
 
Back
Top Bottom