Mbona wameachana

Mbona wameachana

ingawa ni ngumu lakini ni vizuri kuoa/kuolewa na wale first love
 
ingawa ni ngumu lakini ni vizuri kuoa/kuolewa na wale first love

Ukitokea kupendana kikweli na mtu halafu for some reason mkashindwa kuendelea, wale wote watakaofuata utajikuta unaishi nao kwa tahadhari tu, penzi halitaweza tena kuwa la ukweli kama lile la mwanzo.

Ndio maana hadi leo bado niponipo, demu akiniambia ananipenda yaani feeling ninayopata haifanani hata chembe na ile niliyowahi kupata na yule ninayehisi alikuwa wa ukweli, naona kama ni wimbo uleule ambao wengine wanautumia kupatia wanachohitaji kwa wakati huo.
 
Pole sana mkuu naona alikuumiza sana usikate tamaa wapo wenye truelove ambao wakipenda wanapenda haswaaaaa na wanaheshim sana feelings za mwenza wake so its matter of time tu.......tulia vuta subra and u will get your choice the one that who was there waiting for u....for the rest of your life!!!!!!!
 
Back
Top Bottom