Mbona wageni wanazidi kuongezeka mjini?

Bongo nzuri bana, ukiwaa na ngozi nyeupe au nyeusi mjanja mjanja............ hata km huna hata TSh moja........ uta-make na kuondoka zako milionea/bilionea, huku ukimsikia Membe anasema tunataka uraia wa nchi mbili (dual citizenship) ili remittances ziongezeke...... bila kuongelea money trafficking kutoka hapa bongo........... Tanzania tamu bana.......
 
Nilibahatika muda fulani kwenda Namiba, Botswana, Swaziland na Afrika Kusini nilikutana Watanzania wengi tu; ana wengine mambo yao ni mazuri na hawafikiriii kurudi huko TZ. Acha ubaguzi, kama wageni hao hawatarishi amani kwa maana kuwa ni majambazi, waache watafute maisha, nanyi watanzania mtajifunza mbinu wanazotumia au ingia ubia nao mpate maendeleo kama wao.
 
we bana unaelewa au hueleweli....mi nimeuliza swali wewe unakuja unarekebisha editing error.
nenda jukwaa la lugha litakufaa zaidi

ndo zake huyo akitaka kuderail issue utaona anaanza kupoin minor errors kama spelling etc.
 
Mkuu kwa mfano wakenya wengi wanakuja siku hizi kama wanafunzi wa elimu ya juu, mara tu baada ya masomo unasikia tz ni kupoa sana mazee kenya harudi mtu. Basi ndo hivyo wakuu wakiona kiwingu kinaongezeka wanatafuta binti wa ki-tz wanaoa!! hahahahaa kuna rafiki yangu mkenya aliniomba nimtafutie mchumba wa tz manake wanawake wa Kenya kama Nigeria!! so bado nawapa big up wanawake wa Bongo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
na hakika wanatamba kwa kusifia Tanzania ati pesa iko mchangani haina haja ya kuchimba.
Kazi ipo watanganyika wenzangu... Lets seek national interest first others shall be granted....mmmh! Is it?
Tuendelee kuzubaa na wema wetu wa kijinga halafu tutajuta..!
 
Mkuu kwa mfano wakenya wengi wanakuja siku hizi kama wanafunzi wa elimu ya juu, mara tu baada ya masomo unasikia tz ni kupoa sana mazee kenya harudi mtu. Basi ndo hivyo wakuu wakiona kiwingu kinaongezeka wanatafuta binti wa ki-tz wanaoa!! hahahahaa kuna rafiki yangu mkenya aliniomba nimtafutie mchumba wa tz manake wanawake wa Kenya kama Nigeria!! so bado nawapa big up wanawake wa Bongo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Suala la Jamaa hao wageni toka huko Kenya unakosema, kuwaona wanawake wa Bongo kuwa poa hapo kuna kitu,,,
wanawake wa huko kweli ni tofauti na wa Bongo wana msimamo kiasi kwamba hata jamaa zao huwa hawawapeleki puta.,, they know more haki zao na za Mwanadamu.. kuliko wanawake wa kibongo.
 
Ivuga, unazeeka vibaya, nenda eapot,uone wa tz wanavyokwea pipa kwenda kufanya madili dubai, sauzi, london nyuyok mpaka china, nenda nairob uone wabongo wanavyochuuza, wewe hutaki wenzio waje? Naona wewe bado uko ndani ya usingizi- amka ushindane nao la sivyo utabaki kulalama juu ya ujio wa wageni.

sio kweli,eapoti ipi kwanza? hii ta mw jk nyerere?mbona pale kuna wazungu na wageni ,watalii kibao? au ndio watanzania wenyewe unao wasema.
 
Mbona kuna wabongo wengi tu ambao nao ni wageni huko walipo? tatizo ni ugeni au kuna jingine?

Mbona mtoa mada ameeleweka? Tatizo kuna wageni wengi wanazagaa mitaani ambapo ni tofauti na huko nyuma....hivyo ninafikiri ana wasiwasi wengi watakuwa ni illegal immigrants...kitu ambacho hata baadhi ya wachangiaji wamekiri ni kweli tanzania hii ina illegal immigrants wengi...na sasa trend inaonyesha wanaongezeka kwa kasi.....kutokana na karesearch chake alichofanya kwa kutumia observation method. Need I say more??
 
Mkuu kwa mfano wakenya wengi wanakuja siku hizi kama wanafunzi wa elimu ya juu, mara tu baada ya masomo unasikia tz ni kupoa sana mazee kenya harudi mtu. Basi ndo hivyo wakuu wakiona kiwingu kinaongezeka wanatafuta binti wa ki-tz wanaoa!! hahahahaa kuna rafiki yangu mkenya aliniomba nimtafutie mchumba wa tz manake wanawake wa Kenya kama Nigeria!! so bado nawapa big up wanawake wa Bongo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![/COLOR]




achanteeeeeeeeeeee asanteeeeeeeeeeeeeeeeeee USENGWILE BAMBO!!!!!!!
 
kwa hili kuwa na wageni ni safi kwani wanatutia adabu wimbi la wageni wanaongezeka sawia na kilimo kwanza wasipokuja wageni mavuno ya kilimo kwanza watakula nani? hata hivyo wakongo nawapenda sana maana biashara zako zikinda vizuri unaita wakongo watatu wanakupigia laivu bila chenga na sifa kemkem kama papa Fredito Mopao pedezee , lakini kwa warundi wao siwataki kabisa kwani wanatuuaua huko mipakani na kututeka , kwa wakenya wanatuongezea ujuzi katika nyanja mbari mbari hasa tasni ya habari kwani waandishi wetu wengi wanajua za kanumba kampiga wema, kwa wamalawi hawa uja na kuondoka wanatusaidia Atm zetu za master Card kuwa bize maana watanzania huduma hii kwao ni mpya, kwa wazambia wanatunufaisha kutufundisha kutengeneza madini feki, kwa wasauzi hawa sio wazuri wala wabaya waoni kuandaliwa chakura na kupakuliwa kam vile vibenk vyetu vya NBC na Tanesco , kwa wamarekani ni miradi ya mbu wa maleria isiyoisha na aids na ugaidi, kwa wachina hao ndio safi kabisa wametufanya kujiajiri mafundi wengi wa pikipiki, kwa waarabu hawa nikutama dada zetu kule umangani eti waende kucheza shoo kumbe weeeee, sasa naja kwa wasomali wao wanapita tu wasikupe presha wao uenda Sauzi kwani wasauzi wanawahitaji sana wale mabillioni ya kuteka meri wanajeria hawana shida wao bnduki ni mwiko, uganga na kuwapelekea hela mwenyewe kwenye mahotel makubwa, kwa wamsumbiji hapakwao kabisa mambo ya kuweka mipaka hiyo shauri yenu wao hawajui kwa wanyasa wao wanadai ziwa lao wakipewa wanaondoka usiku wa leo
 
wananunua mashamba kwa bei chee, mwisho wa siku Watanzania tutakuwa wageni kwenye ardhi yetu wenyewe
 
Sababu moja ni tuko "loose" sana. Ukiwaambia Polisi yule ni mgeni na sidhani kama anavibali halali vya kuwepo nchini, basi unakuwa kama vile umdwapa mradi wa kuvuna pesa wao wanaita deal.
Binafsi niliwalengesha jamaa wawili, mkongo na mrundi, ambao walifoji majina na vielelezo mpaka wakapata birth certificates toka RITA kwa waheshimiwa Uhamiaji. Waligeuzwa mradi na mpaka sasa wanadunda. Shame on them who left to live illegaly!!

Kwa Dar, Arusha na Moro unaweza ku-site kiurahisi tu, wapi wanaishi wakongo, warundi,wanyarwanda na wasomali hata wakenya.
Jambo la kuwatimua illegal inhabitants ni simple. Mbona Malawi walifanya wakafanikiwa kwanini sisi tushindwe.
...WALA HUNA HAJA YA KUWAAMBIA! We kaa kimya tu siku ndugu zao wakishakimbizwa ughaibuni watawacharukia!
 
Afadhali Wakenya Waganda Wasomali. Nenda kwenye mahoteli ya kihindi wasiokula nyama jioni utashanga idadi ya wahindi wasiojua hata neno moja la kiswahili. Ushauri wangu tuzidi kuwafichua hivyo hivyo wagaramie inderect
 
Afadhali Wakenya Waganda Wasomali. Nenda kwenye mahoteli ya kihindi wasiokula nyama jioni utashanga idadi ya wahindi wasiojua hata neno moja la kiswahili. Ushauri wangu tuzidi kuwafichua hivyo hivyo wagaramie inderect
 
Back
Top Bottom