Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
sasa kuna wazimu mmoja huko customer care aliniambia nitune BOMBA7 kwenda 1530. kumbe ni 123? nashukuru ndugu hapo juu
Nimenunua modem ya voda juzi tu. Tatizo inakula sana. Nimeongea na customer care usiku sana maana muda wa mchana hawapatikani. Jamaa akaniambia kununua bundle niweke elf 10 kisha nitume neno bomba7 kwenda 15300 nitapata net ya wiki nzima regardldess unatumiaje. Nimeweka asubuhi elf 10 ajabu nimetumia kwa saa moja tu! Huu si wizi? Au sikupewa maelezo ya kutosha?
tutacheki na gharama zao mkuu, ila isije ikawa kama katika tangazo lao la kuhamia airtelNi kuhama, airtel ndio mambo iko huko, japo najua nawafanyia promo lakini majamaa wako fit, voda watu tulishakimbia siku nyingi, hawafai
but remember this is unlimited service for the whole week, so it doesnt matter if there is automatic update or downdateKwa maoni yangu, tatizo siyo MODEM wala VODA. Nakushauri u-disable automatic update zote ambazo huwa zinaji update kwenye background bila mtumiaji kujuwa na kumbuka file zake ni kubwa. Hivyo nakushauri u-disable updates kuanzia operating system ya PC yako na application programmes zote ulizowahi ku-down load ljj
ohooo, unlimited serviceKwa maoni yangu, tatizo siyo MODEM wala VODA. Nakushauri u-disable automatic update zote ambazo huwa zinaji update kwenye background bila mtumiaji kujuwa na kumbuka file zake ni kubwa. Hivyo nakushauri u-disable updates kuanzia operating system ya PC yako na application programmes zote ulizowahi ku-down load ljj
kwa maoni yangu, tatizo siyo modem wala voda. Nakushauri u-disable automatic update zote ambazo huwa zinaji update kwenye background bila mtumiaji kujuwa na kumbuka file zake ni kubwa. Hivyo nakushauri u-disable updates kuanzia operating system ya pc yako na application programmes zote ulizowahi ku-down load ljj