No Viagra no erectionNo Uniforms no selection
Wala hawana anasa maana hawana hela sema tu wanahendekeza Mitandao na ujingakuna prophet mmoja niliwahi kumsikia mwaka jana anasema vifo vitakuwa vingi sana kwa gen z. sababu ni kuwa ni watu ambao wanaishi maisha ya kuwa mbali na Mungu na kuendekeza sana anasa na mitandao.
hapo kwenye mitandao na ujinga nakubaliana na wewe kabisa.Wala hawana anasa maana hawana hela sema tu wanahendekeza Mitandao na ujinga
Sio kifo kigumu mpk unang'oa chagaAimen.
Siku yangu ikiwadia naomba nife kifo chema kisicho na mbambamba.
Nikitoka Lugalo nakuchekiVishu Mtata mkuu nipo ukonga hapa
Kufa kupo palepale
Pia, "kifo ni kifo" tu - SSHKufa kupo palepale
Pole, wewe ulifariki lini? Mbele yako nyuma yetu.Habari? Katika harakàti zangu za kufuatilia habari mitandaoni Huwa napitia pitia mtandao wa Facebook nilichogundua vifo vingi vinatokea vya watoto wa 2000 RIP zimekuwa nyingi mno mpaka najiuliza ndio tumeingia zama mpya za kizazi Cha 2000 kupukutika au sie wa 80's tunajionea sio changamoto kwetu,au ni laana ya kizazi.
Asante sana😅Laana kutoka kwa nani?
Kifo kipo kwa kila mtu hakiangalii umri
Hata nyie wa 80's mnakufa sana tu
Hata kama mkuu 😎Selewii mzee
Wanazini sana . Roho wa Mungu hayupo nao hwana kinga. ya mwiliHabari? Katika harakàti zangu za kufuatilia habari mitandaoni Huwa napitia pitia mtandao wa Facebook nilichogundua vifo vingi vinatokea vya watoto wa 2000 RIP zimekuwa nyingi mno mpaka najiuliza ndio tumeingia zama mpya za kizazi Cha 2000 kupukutika au sie wa 80's tunajionea sio changamoto kwetu,au ni laana ya kizazi.
Sipendi kifo chenye purukushani, nataka nilale usiku na nisepe nikiwa usingizini.Sio kifo kigumu mpk unang'oa chaga
Unataka kusema nn yaaniHata kama mkuu 😎
Nasema karibu Kenya katika ardhi ngumu ya Sakayo.Unataka kusema nn yaani