Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 1,670
- 3,271
Miaka yetu kila kitu ni hatari..
vyakula hatari..
usafiri hatari..
mapenzi hatari..
ajira hatari..
mitandaoni nako hatari TUNATEKWA
unadhani tutapona kama ilivyo kwa wazee wetu wa 60's
vyakula hatari..
usafiri hatari..
mapenzi hatari..
ajira hatari..
mitandaoni nako hatari TUNATEKWA
unadhani tutapona kama ilivyo kwa wazee wetu wa 60's