Mbona umepoteza matumaini mapema???? Mapema tangu 1961!!!!!

Mbona umepoteza matumaini mapema???? Mapema tangu 1961!!!!!

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
8,169
Reaction score
3,361
001.JPG

Cartoon hii inasema zaidi ya maneno alfu moja. Je ni nini ambao wewe unaweza kulisemea kweli linakutasha tamaa toka serikalini kwa hiyo kuungana na cartoon hii?????

Hali kadhalika unaweza kuprove Kipanya hakuwa sahihi kwa kushusha nondo toka 1961 mbona bado ni mapema sana kukata tamaa kwa maana ya kuonyesha kile ambacho serikali imekifanya, inakifanya kulinganisha na nchi nyingine za ulimwengu kama wa kwetu??

Karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom