Huyu sio Mwanaisha kweli......? Namfahamu huyu ......
Mke mwema unafanya nini huku kwenye nyumba za watu? Haukuwa hivi enzi za ujana wetu ujue.subiri aje Rutashubanyuma nae aje ashushe verse
Mtoto wa Arusha naomba nikusalimie kidogo tu!
Mke mwema unafanya nini huku kwenye nyumba za watu? Haukuwa hivi enzi za ujana wetu ujue.
kaachwa mtu kimya kimya.
Naam wangu muhibu..
Mja mwenye roho ya kutu..
Ghafla kawa bubu..
Mtima tele maumivu..
Zinduna wake nyonda...
Kaachiwa kiroho dunda...
Shengesha yamsumbua...
Presha yampanda yashuka..
Mie dakitari, tabibu wa penzi...
Aje kwangu Kaizari...
Nimponye yake maradhi...
Na yangu dawa asali...
Naam wangu muhibu..
Mja mwenye roho ya kutu..
Ghafla kawa bubu..
Mtima tele maumivu..
Zinduna wake nyonda...
Kaachiwa kiroho dunda...
Shengesha yamsumbua...
Presha yampanda yashuka..
Mie dakitari, tabibu wa penzi...
Aje kwangu Kaizari...
Nimponye yake maradhi...
Na yangu dawa asali...