x-paster, thanks. nilidhani ni tafsida na sio tasifida?
mtoa mada, katika lugha yoyote ile,kuna maneno ya kutumia na watu mbalimbali. ni kama kidhungu, kuna sex,making love na f*%king. kidhungu nadhani inaitwa 'dirty language'. na kwa heshima yake, utupu wa mwanamke unaitwa 'uke'