Mbona tigo wapo hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona tigo wapo hivi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kinyoba, Jul 8, 2011.

 1. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Habariza leo wadau? Huwa najiunga na tigo internet mara kwa mara kwenye simu yangu, sasa siku ambayo sina mpango nayo hasa ukizingatia na huu mgao kunasiku unakuta huna charge au unamambo mengine au huwa sijiungi nayo. Tatizo ni kuwa tigo wanakuunganisha na kukata sh 450 hatakama hujaomba. Customer care wanasema tuma neno DEACT na nimefanya hivyo asubuhi na kujibiwa kuwa nimejitoa kwenye kifurushi. Sasa nashangaa nimeunganishwa tena, SIJUI KAMA NA NYIE WADAU MMEONA HII KITU: huu ni wizi na usanii, lazima mteja awe na maamuzi na pesa zake katika akaunti yake, na hiyo custumer care ukipiga simu hadi upokelewe ni robo saa au zaidi.hata hii huduma ya kukopesha pesa ni usanii tu, iweje wao wao wakupangie kiasi cha kukopa? Eti kigezo ni wewe umekua mteja mzuri sana hivyo tutakukopa sh 800 au 1500; HUU PIA NI WIZI; wanapaswa kuweka options za kiasi gani mtu anataka kukopa kama wenzao voda. BINAFSI NAWAONA KAMA TIGO HAWAPO SMART.
   
 2. Mwache77

  Mwache77 Senior Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Wanauzi xna tigo na huduma zao kwa ujumla
   
 3. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  yah kweli jamaa wanakera,mi nlishahama huko wewe unasubir nini?,ok anyway khs hilo la kuunganishwa na internet daily 2ma hilo DEACT kwenda 15166 wataacha maana hata mimi nlifanya hvyo wakaacha....pls kama vp hamia huku....
   
 4. e

  emma Magandi Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  unatakiwa uangalie muda unaojiunga,kabla haujaisha ndo unajiondoa hata mimi nilikuwa na tatizo kama hilo.tuma neno DEACT KWENDA 15166
   
Loading...