Mbona tembo wetu wakorofi tofauti na hawa?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,126
Reaction score
35,515
Tatizo nini?
IMG_20200708_192154.jpg
 
Hiyo nshu inaweza isiwe editing maana kuna nshu ya kuwazoesha wanyama (habituation) hii huwafanya wanyama wazoeane/wawe karibu na binadamu hali ambayo kwa kiasi fulani hupunguza risk kati ya binadamu na wanyama.

Sababu nyingine ni kwamba mnyama aliyeko/anayeishi porini lazima awe aggressive kuliko mnyama anayeishi kwenye captivity kwani huyu wa porini mara nyingi sana hayuko exposed kwa binadamu ila huyu aliyeko kwenye captivity hukutana na binadamu mara kwa mara.

Pia kuna species tofauti za tembo kwa mfano tembo wetu sisi ni species za African elephant na hawa mara nyingi huwa hawako friendly sana kwa binadamu maana asilimia kubwa ya maisha yao hutumia mwituni/porini so huwa wamezoea kwa kiasi kikubwa mikiki mikiki ya porini yaani survive for fitness ila kuna species nyingine ambayo hupatikana sana barani Asia na hawa huitwa Asian Elephat yaani hawa ni legelege kama yalivyo yale majoka ya makumbusho ya bujora ambayo wasukuma huwa tunayatumia kuchezea ngoma.
 
Safi,maelezo mazuri
 
Back
Top Bottom