Mbona siwaoni waoaji mwe!

Na sisi wanaume tunasema hivyo hivyo,,wanawake wa kuoa hawaonekani..
Tatizo wakiwa kwenye peak huwa wananata sana wakizalishwa wanatuliza akili wanatafuta mume sasa....
 
[emoji23][emoji23][emoji23]au sio
Wengine wanatulingia
Wengimnahitaji dahhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…