Mbona siwaoni waoaji mwe!

Nakusalimia
 
Natafuta mke sema sitaki mamboya kupangiana ratiba kwenye mbususu kiongozi.Wako mtiifu Bata Mkuu🥲
 
Hii comment kina dada wameipita kimya kimya.

Hatari sana bob
 
Tatizo nyie mnataka kuolewa na masherehe makubwa ili ujidai kwa mashosti wakat mfukoni Hali ni tete,,
 
Wakati ni ukuta 😅 ringeni mkifika 37 mtakubali kuzaa na kulea kwa gharama zenu wenyewe😅
Mbona 37 mbali sana huko....hapa nimekalia ofa mbili za warembo wa miaka 28 and 31 wanaomba niwape mbegu watalea wenyewe hao watoto. Ni vile tuu mie sitaki kukabana mashati baadae. Kwa kweli hali ni mbaya sana kwa warembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…