Kwani ujana ulikula na Nani?[emoji23][emoji3516][emoji23]Kila mtu atakula alipo peleka mbogaMmejificha waaaaapiiii wajameni,mbona mnataka tuzeekeee tuuu bila huruma
Hebu mtuoe basi tumechoka mikelele ya wazazi
Hakuna kigezo wala masharti hapa,sibagui sichagui [emoji1]
Ila ukija na usiponioa oohoooo utakijua cha mtema kuni[emoji41]
Ili awasute na awachambe wanaume[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji122][emoji122][emoji122]Ya wazazi na jamii yaliniponza mwenzio nikaangaika mwisho wa siku nikawatimizia yapivyonishinda nikasepa.Tafadhali jikaze nenda taratibu kule unakokimbilia hakuna jipya ukiharakia utapata ndoa yenye mateso.Please tulia ili umpate utakayempenda,na ukimpenda mtu usisite kumwambia dunia utandawaz sasa
Kumbe wapweke ni wengiPlease ukipata wengi nipasie pia mkuu kukuπ
Loulo Dada,ngwagha akasyaghan'ya.Mungu amtetee asijichanganye[emoji122][emoji122][emoji122]
Ushauri mzuri huu ndagha nkamu,uli na mahala.
Mtu anaolewa kwa presha ya wazazi,mwisho wa siku ni majuto.
Ni heri kutulia,mtu sahihi atakuja tu wakati ukifika.
Waswahili walisema "kawia ufike"Loulo Dada,ngwagha akasyaghan'ya.Mungu amtetee asijichanganye
Unamtetea hivyo au ndo wewe maana anatumabango hutuhutu na muandikoπ€Jifariji eeh utaoa huyo huyo uliyemtumia , umempikilisha matambi weee unataka kumuacha how?π
Woouuw..!Hahahaa. Ako kamstari ka mwisho kabisa usishangae ndo ukawa umewakimbiza.
Sababu wengi wanakujaga kwanza halafu wazo la kuoa linawajiaga baadae.
Hujajua tu vile nimeshituka kuona like yako My Lovely mdogo. πWoouuw..!
My lovely Sister[emoji3531]
Njoo nikutute machoziYa wazazi na jamii yaliniponza mwenzio nikaangaika mwisho wa siku nikawatimizia yapivyonishinda nikasepa.Tafadhali jikaze nenda taratibu kule unakokimbilia hakuna jipya ukiharakia utapata ndoa yenye mateso.Please tulia ili umpate utakayempenda,na ukimpenda mtu usisite kumwambia dunia utandawaz sasa
Umeshauri kitu muhimu sana lakini, wanawake ambao wapo kwenye desperate time ni ngumu sana kukuelewa sijui shida ni niniYa wazazi na jamii yaliniponza mwenzio nikaangaika mwisho wa siku nikawatimizia yapivyonishinda nikasepa.Tafadhali jikaze nenda taratibu kule unakokimbilia hakuna jipya ukiharakia utapata ndoa yenye mateso.Please tulia ili umpate utakayempenda,na ukimpenda mtu usisite kumwambia dunia utandawaz sasa
Inatakiwa wafanyeje sasaHahahaa. Ako kamstari ka mwisho kabisa usishangae ndo ukawa umewakimbiza.
Sababu wengi wanakujaga kwanza halafu wazo la kuoa au wasioe linawajiaga wakiwa ndani ya hayo mahusiano.
Hao ni wazazi wapuuzi. Utaruhusuje binti hata kama ni 40 year azae bila ndoa? Tunakataa usingle maza kwa hali yoyote ileHahahahahah watoto wengi wa kike this time around wako 30βs wana desperate ya abuja! Wanataman kuolewa kichizi wanasumbuliwa na wazazi wao wazae π π π
Msalimie mdogo wetu kwa niaba yanguHujajua tu vile nimeshituka kuona like yako My Lovely mdogo. [emoji8]
Nakuja nikusalimie mana hadi twazeeka sasa. Teh teh.
Nani hao ndugu waoaji au waolewaji?Inatakiwa wafanyeje sasa