Mbona Sio hajasaini?

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
hajakubali?
sioiiiiiiiiiiiiiiiii.jpg
 
baba mkwe atasaini kwa niaba yake.
Nadhani kaenda kumalizia arobaini ya mzee then akafiche sura yake UK.
 

Unajua hii picha inasababisha mtu utafakari zaidi ... Hii ni zaidi ya Picha!

Laiti kama Wazee wetu walio vijijini Tanzania kama wakiwa na ufahamu/uelewa wa kama huyu Bibi hapa - basi kutakuwa na mabadiliko makubwa katika siasa za nchi yetu.

Maana Wazee wetu wengi wao wanaipenda CCM tu bila hata kujua ni kwa nini - huku wakiwa hawajui kuwa CCM yao ya wakati ule si sawa na CCM ya wakati huu - katika mambo iliyokuwa inayaamini.

Natamani Wazee wetu wote walioko vijijini wangeamka kama huyu Bibi yetu hapa na waone kuwa kuna uwezekano wa kuleta mabadiliko nchini kupitia hata vyama vingine vya siasa na wala si lazima CCM tu.


.
 
Back
Top Bottom