Wakati Chadema kupitia Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe, wamekuwa watetezi wa haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa Gazeti la Tanzania Daima, wanalia njaa ya kukosa mishahara, je hili ndg zangu ni haki kwa kiongozi mkubwa kama huyu ambaye ameaminiwa na Watanzania wengi kutokana na harakati zake?

Wewe umedai umejiunga na Jf kwa sababu ya wajumbe wa tume ya katiba kutoka zanzibar, sasa mambo ya huyu mjinga yanakuhusu nini? wacha majungu wewe!Mhhhh mbona mnamjibu kwa hasira au kuna ukweli! hebu kalete kaushahidi kadogo basi mkuu!
Alitumiwa kama 'condom' shughuri ilivyo isha akajikuta ndani ya jalala kama si msalani.Another form of Tuntemeke!
naona hii propaganda ulisahau kuileta wakati wa uchaguzi wa arumeru.haina mashiko!
wakati chadema kupitia mwenyekiti wa taifa freeman mbowe, wamekuwa watetezi wa haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa gazeti la tanzania daima, wanalia njaa ya kukosa mishahara, je hili ndg zangu ni haki kwa kiongozi mkubwa kama huyu ambaye ameaminiwa na watanzania wengi kutokana na harakati zake?
Mhhhh mbona mnamjibu kwa hasira au kuna ukweli! hebu kalete kaushahidi kadogo basi mkuu!