Mbona siaminiki kwake?

hujaelewa huyo mtu ni jinsi ipi? rudi page namba moja uone swali la tee bag zen angalia jibu alilopewa ndio utajua kama ni ke au me
 
Just be faithfull!Hakikisha unakuwa hucheat tena hata kama huaminiki, matendo yanaongea zaidi ya maneno!Usilazimishe mtu akuamini ilhali wewe mwenyewe ndio uliondoa uaminifu wake kwako!Pay the price untill it is accepted!
 
Mi ni "ke" wandugu.....then ni mara nyingi nkimkosea kwa makosa mengine lazma akumbushie na hilo....kazi ninayo. Lakn i hope mambo yataenda vzr tu.
 
hujaelewa huyo mtu ni jinsi ipi? rudi page namba moja uone swali la tee bag zen angalia jibu alilopewa ndio utajua kama ni ke au me

Sio lazima, nimetoa ushauri wa jumla, kwa hiyo awe me au ke, ataelewa kwa sehemu yake.
 
Mi ni "ke" wandugu.....then ni mara nyingi nkimkosea kwa makosa mengine lazma akumbushie na hilo....kazi ninayo. Lakn i hope mambo yataenda vzr tu.

Ndio ilivyo, hata ukae nae miaka 60 ukifanya kosa tu unalo, wewe vumilia tu hamna jinsi hapo.
 
Mi nakushauri ujaribu kufanya vitu vidogovidogo vitakavyomfanya asahau, ikiwemo surprise kama kumnunulia vitu vidogovidogo, kumjali akipata tatzo kama akiumwa, kuwasiliana Naye Mara Kwa Mara na kujitahidi kukutana naye pia
 
una "shukument" disease! unajishuku kuwa hakuamini!
 
Mi mpenzi wangu."mwanamke wangu"alini cheat kweli mpaka sasa sijasahau nanikitu kinacho niuma zaidi nilimsamehe ila majuzi hapa nimekuta chatting na mwanaume cheat nae,still nimempa nafasi buti told her wait for my turn, sikusema zaidi ya help
 
pema ukijapo pema, ukipema c pema tena. Ila cha mcngi don giv up km unampenda, pata muda mzur wa kuongea nae kuonyesha bdo unamhitaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…