Mbona posta mpya wanawake wote ni warembo?

Huwa sipati tabu kujuwa umri wa mamember wa humu JF, huyu amekalili maneno kama kasuku watu kama nyinyi huwa nawapa dole la kati.

Kama ulivyozoea kumpa mamako na babako halafu na wao wanakupa wewe na babako mnapokezana.
 
Mwanamme uzuri wake ni Hela aka Pakee aka mshiko aka kisu aka midako aka mapene aka mkwanja ,wewe a sio suruali au kikombe cha babu!!!! Kama kikombe cha babu hata mashoga wanacho!!!!!!!

Men with their perceptions!!!!!!! Dah, hivi tungekuwa tunawajudge nyie mngetuoa kweli, lol. Sidhani
 
Humu sasa naona hata topiki za maana hakuna! Itabidi nichukue likizo tu kwa muda. Ila siku Lizzy aki update ile hadhithi yake ya Zawadi naomba wadau mni PM...!!
 
Mwanamke anaonekana mzuri kutokana na mazingira ya eneo husika!
Ukionana na mdada maeneo kama m.city anaonekana mrembooo lakini ukikutana naye mwanamke huyo huyo k-koo unampita bila hata kugeuka!!
Huko nako wauza mboga watamwona ni mzuri, kila mtu na maeneo yake ya kujidai
 
nimesoma posts za member humu ngoja nimpe jibu!mademu wengi wa uswaz ikifika saa 10 wanakuja mitaa ya posta kuwatega wafanyikazi!unadhan kariakoo mtu wa ofsn atampata wapi?ndio maana posta kumejaa mademu kibao.
 
Yaani sijawahi kuona demu mbaya maeneo ya posta mpya. Ina maana wanawake wabaya wanazuiwa kuingia maeneo hayo, au ni kuwa demu akiingia maeneo hayo anabadilika automatically kuwa mrembo.
Hakuna mwanamke mbaya weye! labda ukishamkinai!
 
Appearance can be deceptive, watch out! Si vyote ving'avyo ni dhahabu
 
Yaani sijawahi kuona demu mbaya maeneo ya posta mpya. Ina maana wanawake wabaya wanazuiwa kuingia maeneo hayo, au ni kuwa demu akiingia maeneo hayo anabadilika automatically kuwa mrembo.

Hii kitu hiko kwenye mind yako na sio kwenye reality, yaani Psychological ... !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…