Mbona nguvu kubwa inatumika kuzuia ukweli kuhusu maji machafu Arusha?

fisi 2

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
3,273
4,626
Kuna nini nguvu kubwa hivi kuzuia hata wataalamu na waathirika wenye homa ya matumbo kwa maji machafu toka mamlaka ya maji . Polisi, mkuu wa mkoa, watendaji hadi wanatishia wananchi. Nini kinafichwa!?!
 
Back
Top Bottom