Jitongoze huenda ukajikubali au utajitosa?Nimekuwa nikitongoza sasa huu ni mwezi wa 8, lakini sikubaliwi, vi pesa ya kutumia gesti havikosekani lakini nashangaa chupi zimekuwa ngumu sana, wengine wakiishia kunichuna na kuingia mitini.
aliyeko tayari kunihudumia ajitokeze,naishi chwaka unguja.
Haaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaa! dah!Jitongoze huenda ukajikubali au utajitosa?
Nimekuwa nikitongoza sasa huu ni mwezi wa 8, lakini sikubaliwi, vi pesa ya kutumia gesti havikosekani lakini nashangaa chupi zimekuwa ngumu sana, wengine wakiishia kunichuna na kuingia mitini.
aliyeko tayari kunihudumia ajitokeze,naishi chwaka unguja.
Huna swaga...!!
Thwaga ndo nn?
huna utamu unatoa uchungu tu
Mkuu hebu weka picha tukuone labda tatizo lipo wazi kbs hutak kulikubali.
Nimekuwa nikitongoza sasa huu ni mwezi wa 8, lakini sikubaliwi, vi pesa ya kutumia gesti havikosekani lakini nashangaa chupi zimekuwa ngumu sana, wengine wakiishia kunichuna na kuingia mitini.
aliyeko tayari kunihudumia ajitokeze,naishi chwaka unguja.
yahe jamani watongozaje? huo mtongozo wa elfu kumi na tano za gest loh hata mie nakataaa.... yaheee badilisha namna ya kutongozwa acha kutongoza huku huna hela