Mbona nataka kula sahani 1 na kaka yangu?

Mbona nataka kula sahani 1 na kaka yangu?

huyo mwanamke anaongozwa na hasira zaidi na anachokifanya nikulipa kisasi kwa broo wako...hakuna mapenzi hapo kati yenu,zaid naona undugu kufa...
 
huyo mwanamke anaongozwa na hasira zaidi na anachokifanya nikulipa kisasi kwa broo wako...hakuna mapenzi hapo kati yenu,zaid naona undugu kufa...
Mkuu umesema,.hiyo ni njia moja wapo ya kutaka kumuumiza huyo broo na c mapenzi kama anavyodhani dogo,.undugu ukifa bibie nae ataamsha tuu au utakuwa mtafaruku usio julikana mwisho wake
 
Bro wako itakua alishagundua kuwa huyo bi mkubwa ni chawote akaamua kumtelekeza kimyakimya
 
Nadhani kila kitu kiwe na mipaka.

Ndugu Kushea uchi sio vizuri.
 
we jamaa lofa kwel we jimama la miaka 38 unalipeleka wap. mijitu mingine sijui mnawazaje angekua hajapiga kaka yako angalau hebu temana tafuta kitu cha future ujana wake ale na nani uzee amalizie kwako na bado asababishe mfarakano, kaka yako akija huoni utakua umemwaibisha? uchi kakako auone na we uuone? acha ufala
 
utakuta kaka mtu yuko JF naye atamshauri kaka yake bila kujua. Dunia hii? acha tu.
 
ungeomba ushauri kabla ya kula mzigo,kimesga doda sasa na inavoelekea soon utampa mimba
 
Chunga tamaa mbaya....chunga tamaa mbayaa......by 20%
 
Eti mtamuuu kama wa miaka 22.....teheee chief hutoishi kwa amani km vile ulivyoanza kuishi kwa kukosa amani sasa hivi....utakosana na bro wako...na ipo siku utakosana na huyo wa utamuuu....afu utajutia kukosa vyote viwili kwa tamaa zako.
Piga chini kisha kausha..ndani ya miez miwili kil mmoja atakuwa amezoea na kuanza life yake.
 
Back
Top Bottom