Mbona nataka kula sahani 1 na kaka yangu?

Ndio limeshatokea mpe ushauri acha kumtia lawamani.
Ila my self nimependa ulivyomlaumu.
Hahaha please just read between the lines. Atakuwa ameshaelewa cha kufanya according to my opinions, though muamuzi wa mwisho ni yeye mwenyewe
 
Ninaye broo wangu anaishi abroad miaka kadhaa, sio siri anatupiga tafu sana kwenye familia tunamtegemea kiukweli, aliwahi kuoa akiwa kule ulaya na kupata watoto 2 baadae wakaachana na yule mke wake wakagawa mbao.

Kuna kipingi tukaongea akanambia amepata mwanamke mwengine mtanashati mzuri (age yake kama 38 ivi) anataka kumuoa ili azibe pengo la yule alomuacha nikamwambia sawa ni jambo zuri, kuna kipindi alirudi kuja matembezi Africa na kuja naye huyu mama ambaye sasa anatarajia kumuoa akanitambulisha na nilimpa credit mama ametimia anamvuto wa hali ya juu nikamwambia hapa umepata na usipoteze muda huyu ndo atakuwa mke wako. basi akafurai sana tukaondokeana atamfanyia posa na kuja kuoana naye soon na akarudi zake abroad. nafkiri siku hii walilala pamoja.

Sasa huyu mama mimi baada kutambulishwa ikawa tunawasiliana on behalf of my brother, na nilizoea kumwita shem na huenda kwake ambako alikokuwa kapanga na nyumba alikuwa analipiwa kodi na broo, hushinda na kula chakula cha mchana, alikuwa ananijali na kuniheshimu sana kwa vile kaka yangu ndio anategemea kuoana naye.

Sasa kuna kipindi yule broo wangu alikatisha mawasiliano naye akawa hampigii simu na hela za matumizi ikawa hamtumii tena kikawaida huyu mdada ikawa sasa analalamika kwangu dhidi ya broo kwamba anahisi kama hamjali akinitaka mimi niongee na broo ili waweke mambo sawa.

Mimi humtwangia broo vipi mbona mdada analalamika huna mawasiliano naye kikawaida? broo anajibu ah ''kazi nyingi nikitulia nitamtafuta'' mara siku nyengine ananambia ''ah achana naye saiv mambo yang hayak sawa nitamtafuta'' muda ukawa unaenda hakuna mawasiliano naye kuna siku akanambia acha naye tu wewe mwambie ntampigia.

yule mama akajuwa labda hatakiwi tena ni broo, sasa kwasababu mimi nilikuwa nawasiliana naye na kwenda kwake ikawa nishida na mimi kumkwepa ikawa twapigiana simu kuulizana hali na stori za maisha ndogo ndogo.

Lakini katika maongezi yetu huwa analalamika sana kuhusu broo alivyomtenda mpaka kuna siku mimi nikamuonea huruma sana mpaka nikamtania kwa broo alivyokutenda nikwambia ''natamani kama ungekubali mimi nikakuoa ili kuziba makosa ya broo'' lakini mimi ukweli nilimwambia hivi kwa utani tu kama shemu wangu.

Dah yaani sijaamini macho yangu mama yule akaniambia mbona hakuna neno tena akafurahi sana akasema sawa niowe hata kesho nipo tayari, basi na mimi tena nikawa naona shida kwamba nimeongea utani ikabidi tukazama zaidi kwenye mazungumzo tukapendana tena kwa kasi ya ajabu.

yaani huyu mama kwa kweli amenipagawisha sio kwa mapenzi tu lakini ana MAHABBA saivi sioni wala sisikii chochote kwa yeye namuhisi kama demu wa miaka 19 ivi au 22 yaani nimeghumiwa.

Sasa huyu mama sasaivi anataka ndoa japo ya siri alimradi tu iwe imethibiti kisheria sasa bas ngoma iko kwangu Je broo kule akaja akaskia au akija huku akanikuta nimeoana naye japo yeye alimtenda? mimi ntakuwa mtu wa aina gani? nahisi ntakuwa sina uso. na broo akija Africa lazima atalala kwangu japo siku 2 au 3 mambo haya yatakuwaje?

huyu mama yeye hana neno anasema hajali madam alimtenda lakin mimi najihisi mzito sana naogopa na ukweli hasa broo ofisi niliyonayo mradi ni wa kwake namuheshimu namuogopa ni kichwa kwenye familia.

Nimetafakari nikaona nilete hapa kwenye wataalamu wa ushauri hasa wa namna hii uhusu mambo yetu ili angalau nijuwe nianzie wapi naamini mtanishauri vyema tu. nipo hapa siondoki nasubiri ushauri wenu

Kwenu wadau.
Achana nae hiyo ni dharau kubwa sana kwa kaka yako, utajuta mkuu undugu ni jambo kubwa usiuweke rehani kirahisi namna hiyo wanawake hao hawaishi tafuta mwingine
 
Alafu.....
Mbona kama huyo bro wako namfahamu😕
Sababu kuna jamaa yangu yupo mbele, aliwahi kunipa stori kama hii aiseee......
Na jinsi ulivyo elezea kuna vionjo vina fanana na ninavyo mjua.
1- Yeye ndio kichwa na msaada mkubwa kwa familia.
2- Aliwahi kuoa huko majuu, kisha kuachana.
3- Ana watoto mbili.
4- Alipata mchumba Tz, mwenye umri wa miaka 38.
Hizi mambo nikama zina shabihiana na hayo uloyataja
 
Mwenyezi Mungu kwa hekima na busara zake ametukataza kujiweka karibu na wanawake ambao hatuna uhalali nao wa kimaingiliano.......

Na ndio inasisitizwa kuwa hata watoto wetu wa jinsia tofauti wanabalehe na kuingia katika utu uzima basi tunapaswa kuwatenganisha hata kama ni ndumu wa damu...moto wa tamaa na mihemko ya mwili ni mkali na haiwezi kuzuiwa na uhusiano wao....

Nilichogundua kwenye story yako ni nyinyi nyote hamkutambua au mlipuuzia mipaka yenu kama mtu na shemeji yake..ukaribu wenu ulikuwa si wa kawaida na ndio uliopelekea upumbavu huu mlioufanya....laiti kama mngekuwa na mipaka hiyo msingefikia hapa......

Hapo huna budi kuyakabili yoyote yatakayoyokea kwani ndio matokeo ya upumbavu wako......kwa kuwa waswahili wanasema kuwa " kama umelikologa mwenyewe basi huna budi kulinywa"......hata kama likiwa ni chungu au tamu....
 
Nahisi ulitengeneza mazingira wewe Mwenyewe ya utani na shemeji yako! Hii tabia mbaya ipo sana kwa pande zote mbili siku hizi! Kwa sababu kosa limefanyika huna budi kutafakari wewe Mwenyewe! Je unampenda kwel?! Au ni tamaa za mwili tu!

Kama unampenda kwel muulize kaka kama anamhitaji bado huyo shemeji-mzinifu mwenzako! Akisema NO then fanya maamuzi na umwambie ukwel baada ya hapo
 
Kama umedhamiria kuoa mweleze kaka yako mapema ajue.
 
Unaumri gan? Mkuu km huyo mama ana 38,,achana nae tu imarisha penz lako bhana kwan ulisubir bro yako akutaftie?,,km jambo linakutatiza ni vyema kuliacha na ukafanya jambo jingne
 
Ninaye broo wangu anaishi abroad miaka kadhaa, sio siri anatupiga tafu sana kwenye familia tunamtegemea kiukweli, aliwahi kuoa akiwa kule ulaya na kupata watoto 2 baadae wakaachana na yule mke wake wakagawa mbao.

Kuna kipingi tukaongea akanambia amepata mwanamke mwengine mtanashati mzuri (age yake kama 38 ivi) anataka kumuoa ili azibe pengo la yule alomuacha nikamwambia sawa ni jambo zuri, kuna kipindi alirudi kuja matembezi Africa na kuja naye huyu mama ambaye sasa anatarajia kumuoa akanitambulisha na nilimpa credit mama ametimia anamvuto wa hali ya juu nikamwambia hapa umepata na usipoteze muda huyu ndo atakuwa mke wako. basi akafurai sana tukaondokeana atamfanyia posa na kuja kuoana naye soon na akarudi zake abroad. nafkiri siku hii walilala pamoja.

Sasa huyu mama mimi baada kutambulishwa ikawa tunawasiliana on behalf of my brother, na nilizoea kumwita shem na huenda kwake ambako alikokuwa kapanga na nyumba alikuwa analipiwa kodi na broo, hushinda na kula chakula cha mchana, alikuwa ananijali na kuniheshimu sana kwa vile kaka yangu ndio anategemea kuoana naye.

Sasa kuna kipindi yule broo wangu alikatisha mawasiliano naye akawa hampigii simu na hela za matumizi ikawa hamtumii tena kikawaida huyu mdada ikawa sasa analalamika kwangu dhidi ya broo kwamba anahisi kama hamjali akinitaka mimi niongee na broo ili waweke mambo sawa.

Mimi humtwangia broo vipi mbona mdada analalamika huna mawasiliano naye kikawaida? broo anajibu ah ''kazi nyingi nikitulia nitamtafuta'' mara siku nyengine ananambia ''ah achana naye saiv mambo yang hayak sawa nitamtafuta'' muda ukawa unaenda hakuna mawasiliano naye kuna siku akanambia acha naye tu wewe mwambie ntampigia.

yule mama akajuwa labda hatakiwi tena ni broo, sasa kwasababu mimi nilikuwa nawasiliana naye na kwenda kwake ikawa nishida na mimi kumkwepa ikawa twapigiana simu kuulizana hali na stori za maisha ndogo ndogo.

Lakini katika maongezi yetu huwa analalamika sana kuhusu broo alivyomtenda mpaka kuna siku mimi nikamuonea huruma sana mpaka nikamtania kwa broo alivyokutenda nikwambia ''natamani kama ungekubali mimi nikakuoa ili kuziba makosa ya broo'' lakini mimi ukweli nilimwambia hivi kwa utani tu kama shemu wangu.

Dah yaani sijaamini macho yangu mama yule akaniambia mbona hakuna neno tena akafurahi sana akasema sawa niowe hata kesho nipo tayari, basi na mimi tena nikawa naona shida kwamba nimeongea utani ikabidi tukazama zaidi kwenye mazungumzo tukapendana tena kwa kasi ya ajabu.

yaani huyu mama kwa kweli amenipagawisha sio kwa mapenzi tu lakini ana MAHABBA saivi sioni wala sisikii chochote kwa yeye namuhisi kama demu wa miaka 19 ivi au 22 yaani nimeghumiwa.

Sasa huyu mama sasaivi anataka ndoa japo ya siri alimradi tu iwe imethibiti kisheria sasa bas ngoma iko kwangu Je broo kule akaja akaskia au akija huku akanikuta nimeoana naye japo yeye alimtenda? mimi ntakuwa mtu wa aina gani? nahisi ntakuwa sina uso. na broo akija Africa lazima atalala kwangu japo siku 2 au 3 mambo haya yatakuwaje?

huyu mama yeye hana neno anasema hajali madam alimtenda lakin mimi najihisi mzito sana naogopa na ukweli hasa broo ofisi niliyonayo mradi ni wa kwake namuheshimu namuogopa ni kichwa kwenye familia.

Nimetafakari nikaona nilete hapa kwenye wataalamu wa ushauri hasa wa namna hii uhusu mambo yetu ili angalau nijuwe nianzie wapi naamini mtanishauri vyema tu. nipo hapa siondoki nasubiri ushauri wenu

Kwenu wadau.
Una umri gani ndugu
 
kumshikia kaka yako si mbaya kiafrika, ila kuoa ni laana.
 
Kwanza huyo mdada hajaolewa na kaka yako kujipeleka peleka kwake inakhusu nini? pili ulipo kwenda kumvua nguo wakati unaenda au unafanya uzinzi hukujua kama nivibaya hukufikiria kama jee ungefanyiwa wewe ungefanyaje? na huelekei kama hutofanya utafanya hata kwa siri na humuogopi bro wako unaogopa msaada kukatishwa,usijitie Bp huenda hata hatokua na shughuli na wewe ukimuoa,na kumbuka huyo mwanamke hakupendi anataka revenge sasa jijue wewe ni ni yani malizia mwenyewe utajiitaje............
 
Last edited:
Mara zote ni vizuri kufanya kitu ukiwa na hofu ya Mungu, trust me hutofanya makosa na wala hutojuta. Ulipofikia hapo ni kwamba upo tayari kwa lolote ila tu unamuhofia kaka ako kwa sababu ndo kakuajiri na miradi yake na ana hela. Vipi angekuwa hakustiri kwa chochote usingeogopa kumuoa huyo dada?

Tuwe tunafikiria na mbeleni jamani, wanawake wapo wengi, kwa nini ukacomplicate mambo na huyo mchumba wa kaka ako? mtakuwa in good terms kweli na kaka ako na familia yenu kwa ujumla? Afu vitu vingine pia havileti heshima kwenye familia zetu. Leo kaka mkubwa kanitambulisha kwao, kesho naenda na mdogo mtu uso mkavuu aiseeeee

Wewe ni vingapi umefanya Bila hofu ya Mungu..???
Nakama unahofu ya Mungu Hutodanganya kwenye jibu lako
 
Ninaye broo wangu anaishi abroad miaka kadhaa, sio siri anatupiga tafu sana kwenye familia tunamtegemea kiukweli, aliwahi kuoa akiwa kule ulaya na kupata watoto 2 baadae wakaachana na yule mke wake wakagawa mbao.

Kuna kipingi tukaongea akanambia amepata mwanamke mwengine mtanashati mzuri (age yake kama 38 ivi) anataka kumuoa ili azibe pengo la yule alomuacha nikamwambia sawa ni jambo zuri, kuna kipindi alirudi kuja matembezi Africa na kuja naye huyu mama ambaye sasa anatarajia kumuoa akanitambulisha na nilimpa credit mama ametimia anamvuto wa hali ya juu nikamwambia hapa umepata na usipoteze muda huyu ndo atakuwa mke wako. basi akafurai sana tukaondokeana atamfanyia posa na kuja kuoana naye soon na akarudi zake abroad. nafkiri siku hii walilala pamoja.

Sasa huyu mama mimi baada kutambulishwa ikawa tunawasiliana on behalf of my brother, na nilizoea kumwita shem na huenda kwake ambako alikokuwa kapanga na nyumba alikuwa analipiwa kodi na broo, hushinda na kula chakula cha mchana, alikuwa ananijali na kuniheshimu sana kwa vile kaka yangu ndio anategemea kuoana naye.

Sasa kuna kipindi yule broo wangu alikatisha mawasiliano naye akawa hampigii simu na hela za matumizi ikawa hamtumii tena kikawaida huyu mdada ikawa sasa analalamika kwangu dhidi ya broo kwamba anahisi kama hamjali akinitaka mimi niongee na broo ili waweke mambo sawa.

Mimi humtwangia broo vipi mbona mdada analalamika huna mawasiliano naye kikawaida? broo anajibu ah ''kazi nyingi nikitulia nitamtafuta'' mara siku nyengine ananambia ''ah achana naye saiv mambo yang hayak sawa nitamtafuta'' muda ukawa unaenda hakuna mawasiliano naye kuna siku akanambia acha naye tu wewe mwambie ntampigia.

yule mama akajuwa labda hatakiwi tena ni broo, sasa kwasababu mimi nilikuwa nawasiliana naye na kwenda kwake ikawa nishida na mimi kumkwepa ikawa twapigiana simu kuulizana hali na stori za maisha ndogo ndogo.

Lakini katika maongezi yetu huwa analalamika sana kuhusu broo alivyomtenda mpaka kuna siku mimi nikamuonea huruma sana mpaka nikamtania kwa broo alivyokutenda nikwambia ''natamani kama ungekubali mimi nikakuoa ili kuziba makosa ya broo'' lakini mimi ukweli nilimwambia hivi kwa utani tu kama shemu wangu.

Dah yaani sijaamini macho yangu mama yule akaniambia mbona hakuna neno tena akafurahi sana akasema sawa niowe hata kesho nipo tayari, basi na mimi tena nikawa naona shida kwamba nimeongea utani ikabidi tukazama zaidi kwenye mazungumzo tukapendana tena kwa kasi ya ajabu.

yaani huyu mama kwa kweli amenipagawisha sio kwa mapenzi tu lakini ana MAHABBA saivi sioni wala sisikii chochote kwa yeye namuhisi kama demu wa miaka 19 ivi au 22 yaani nimeghumiwa.

Sasa huyu mama sasaivi anataka ndoa japo ya siri alimradi tu iwe imethibiti kisheria sasa bas ngoma iko kwangu Je broo kule akaja akaskia au akija huku akanikuta nimeoana naye japo yeye alimtenda? mimi ntakuwa mtu wa aina gani? nahisi ntakuwa sina uso. na broo akija Africa lazima atalala kwangu japo siku 2 au 3 mambo haya yatakuwaje?

huyu mama yeye hana neno anasema hajali madam alimtenda lakin mimi najihisi mzito sana naogopa na ukweli hasa broo ofisi niliyonayo mradi ni wa kwake namuheshimu namuogopa ni kichwa kwenye familia.

Nimetafakari nikaona nilete hapa kwenye wataalamu wa ushauri hasa wa namna hii uhusu mambo yetu ili angalau nijuwe nianzie wapi naamini mtanishauri vyema tu. nipo hapa siondoki nasubiri ushauri wenu

Kwenu wadau.
Mtanie bro mwambie unamtaka huyo mama,, ,atakachokujibu ndo uanzie hapo
 
Wewe ni vingapi umefanya Bila hofu ya Mungu..???
Nakama unahofu ya Mungu Hutodanganya kwenye jibu lako
Nafanya vingi tu, naanguka na kusimama several times, na ninaishi kwa neema ya Mungu tu. Ila tukitaka kuishi kwa mapenzi ya Mungu basi usiangalie kama nikifanya hivi fulani atanielewaje au atanifikiriaje, ila tujiulize " je itampendeza Mungu"
 
Back
Top Bottom