Mbona nataka kula sahani 1 na kaka yangu?

Mbona nataka kula sahani 1 na kaka yangu?

Ulitania au ulitongoza?
Alitongoza aisee, maana kwenye thread kamsifia sana shemeji yake.
Sasa kusema kuwa alikuwa anatania ni sawa na kutufanya sisi watoto wake.
Kimsingi sina msaada wowote wa mawazo kwake, mi nawasikilizia wataalam wengine wa chini ya Kitovu tu.
 
Hicho ulichofanya ni kumtongoza sio kumatania...Hakuna utani wa dizaini hiyo kati ya mtu na shemeji yake...
 
Mara zote ni vizuri kufanya kitu ukiwa na hofu ya Mungu, trust me hutofanya makosa na wala hutojuta. Ulipofikia hapo ni kwamba upo tayari kwa lolote ila tu unamuhofia kaka ako kwa sababu ndo kakuajiri na miradi yake na ana hela. Vipi angekuwa hakustiri kwa chochote usingeogopa kumuoa huyo dada?

Tuwe tunafikiria na mbeleni jamani, wanawake wapo wengi, kwa nini ukacomplicate mambo na huyo mchumba wa kaka ako? mtakuwa in good terms kweli na kaka ako na familia yenu kwa ujumla? Afu vitu vingine pia havileti heshima kwenye familia zetu. Leo kaka mkubwa kanitambulisha kwao, kesho naenda na mdogo mtu uso mkavuu aiseeeee
umemaliza kila kituuu...
Sijui kwanini tuu kuna mambo tunafanya 100% tukijua ni kosa na halitavumilika na litasababisha hata undugu kufa bila aibu tunafanya...!

Kweli kuna mda kuishinda nafsi(tamaa) inataka moyo saanaa!
 
mwili siku zote unashindana na roho. Roho itakusuta but mwili utakudanganya hadi ukute unauitikia
 
Yaweza kuwa bro wako tayar ana taarifa kuhusu ukaribu wenu huo wa kipuuzi, ña ndo maana alisitisha huduma.

Anakuvutia kasi, akirudi atakufukuza kwenye miradi yake, uende ukalelewe ña huyo mama ako mdogo,

Miaka 25 kwa 38 duh!
 
win8 (kwa sasa tuna window 10, nadhani ujiite win10 na sio win8...jokin though) kwa ushauri tu hapo unatengeneza bomu ambalo likilipuka si wewe wala baba, mama, wadogo zako au kaka ako mtabaki salama!!! no offence please, but that woman is so disperate (miaka 38 si mchezo) na kiukweli kuna uwezekano hata kaka yako hampendi ila anataka awe nae ili apate uraia wa nje kiurahisi!!!

Kwao hilo swala la ku date na kaka then mdogo mtu ni normal (kwa tamaduni zao) na ndio maana umeona amekubali, ila kwa upande wako ni hatari tena sana. Kwa usalama wako na familia yako mwache na kama mtaendelea na mawasiano basi jitahidi kuwaweka sawa na kaka ako!!

Kwa yooote uliyosema kaka ako amewafanyia nyumbani na kukuinua mpaka ulipo unadhani akigundua umemgeuka atajiskiaje/atakuwazaje??? nini kitatokea???

Be very careful comrade!!​
 
shida kubwa ni kwamba huyu mama ukweli nampenda sana na tunapenda si mchezo alafu nahisi nikiachana naye anaweza ata kujidhuru mana broo kamtenda na mimi ambaye nilifanya huruma pia nikimtenda yaani sipati picha.

amefikia kuniambia hata kama mimi nitaoa tena mwanamke mwenye age ya kwangu yeye hana neon wakiwa 2 alimradi nimemuoa na yeye na anapata mambo yake kutoka kwangu, kikwazo hadi sasa ni broo akijuwa sijuw nitaishi maisha gani kuachana naye moyo wangu hautaki saivi nimemuhisi kama ndio maisha yangu.
 
Yaweza kuwa bro wako tayar ana taarifa kuhusu ukaribu wenu huo wa kipuuzi, ña ndo maana alisitisha huduma.

Anakuvutia kasi, akirudi atakufukuza kwenye miradi yake, uende ukalelewe ña huyo mama ako mdogo,

Miaka 25 kwa 38 duh!

Hajajuwa bado yeye mawazo yake yote ni kwamba yule mama amempotezea na kuachana naye lakini mwenzako nimegandwa kuliko ruba na mimi nimefika kwa huyu mama, kama angekuwa anajuwa tayari ningekwishaona rasha rasha uko uko aliko, tumependana kwa siri sana tatizo ndo lipo hapo tu kwa sasa
 
bro wako hana shida,tatizo litakuwa kwako ukimuoa huyo mama utajisikiaje bro wako akija unajua kabisa aliwahi kumtambalia mkeo???utakuwa huna amani siku zote,na ikitokea siku umesafiri halafu mkeo akakuambia kaka yako kaja yupo hapa home utajisikiaje??utakuwa na amani huko safarini??
 
Achana na huyo dada. Simply. Usitake kugombana na ndugu yako sababu ya mwanamke mmekutana ukubwani na hujui kama mtadumu.
 
Huyo Bi Mama anamiaka 38 au sio..Na wewe unamiaka mingapi..Alfu kizuri kula na mwenzio japo bro asijue
 
Sasa
Ninaye broo wangu anaishi abroad miaka kadhaa, sio siri anatupiga tafu sana kwenye familia tunamtegemea kiukweli, aliwahi kuoa akiwa kule ulaya na kupata watoto 2 baadae wakaachana na yule mke wake wakagawa mbao.

Kuna kipingi tukaongea akanambia amepata mwanamke mwengine mtanashati mzuri (age yake kama 38 ivi) anataka kumuoa ili azibe pengo la yule alomuacha nikamwambia sawa ni jambo zuri, kuna kipindi alirudi kuja matembezi Africa na kuja naye huyu mama ambaye sasa anatarajia kumuoa akanitambulisha na nilimpa credit mama ametimia anamvuto wa hali ya juu nikamwambia hapa umepata na usipoteze muda huyu ndo atakuwa mke wako. basi akafurai sana tukaondokeana atamfanyia posa na kuja kuoana naye soon na akarudi zake abroad. nafkiri siku hii walilala pamoja.

Sasa huyu mama mimi baada kutambulishwa ikawa tunawasiliana on behalf of my brother, na nilizoea kumwita shem na huenda kwake ambako alikokuwa kapanga na nyumba alikuwa analipiwa kodi na broo, hushinda na kula chakula cha mchana, alikuwa ananijali na kuniheshimu sana kwa vile kaka yangu ndio anategemea kuoana naye.

Sasa kuna kipindi yule broo wangu alikatisha mawasiliano naye akawa hampigii simu na hela za matumizi ikawa hamtumii tena kikawaida huyu mdada ikawa sasa analalamika kwangu dhidi ya broo kwamba anahisi kama hamjali akinitaka mimi niongee na broo ili waweke mambo sawa.

Mimi humtwangia broo vipi mbona mdada analalamika huna mawasiliano naye kikawaida? broo anajibu ah ''kazi nyingi nikitulia nitamtafuta'' mara siku nyengine ananambia ''ah achana naye saiv mambo yang hayak sawa nitamtafuta'' muda ukawa unaenda hakuna mawasiliano naye kuna siku akanambia acha naye tu wewe mwambie ntampigia.

yule mama akajuwa labda hatakiwi tena ni broo, sasa kwasababu mimi nilikuwa nawasiliana naye na kwenda kwake ikawa nishida na mimi kumkwepa ikawa twapigiana simu kuulizana hali na stori za maisha ndogo ndogo.

Lakini katika maongezi yetu huwa analalamika sana kuhusu broo alivyomtenda mpaka kuna siku mimi nikamuonea huruma sana mpaka nikamtania kwa broo alivyokutenda nikwambia ''natamani kama ungekubali mimi nikakuoa ili kuziba makosa ya broo'' lakini mimi ukweli nilimwambia hivi kwa utani tu kama shemu wangu.

Dah yaani sijaamini macho yangu mama yule akaniambia mbona hakuna neno tena akafurahi sana akasema sawa niowe hata kesho nipo tayari, basi na mimi tena nikawa naona shida kwamba nimeongea utani ikabidi tukazama zaidi kwenye mazungumzo tukapendana tena kwa kasi ya ajabu.

yaani huyu mama kwa kweli amenipagawisha sio kwa mapenzi tu lakini ana MAHABBA saivi sioni wala sisikii chochote kwa yeye namuhisi kama demu wa miaka 19 ivi au 22 yaani nimeghumiwa.

Sasa huyu mama sasaivi anataka ndoa japo ya siri alimradi tu iwe imethibiti kisheria sasa bas ngoma iko kwangu Je broo kule akaja akaskia au akija huku akanikuta nimeoana naye japo yeye alimtenda? mimi ntakuwa mtu wa aina gani? nahisi ntakuwa sina uso. na broo akija Africa lazima atalala kwangu japo siku 2 au 3 mambo haya yatakuwaje?

huyu mama yeye hana neno anasema hajali madam alimtenda lakin mimi najihisi mzito sana naogopa na ukweli hasa broo ofisi niliyonayo mradi ni wa kwake namuheshimu namuogopa ni kichwa kwenye familia.

Nimetafakari nikaona nilete hapa kwenye wataalamu wa ushauri hasa wa namna hii uhusu mambo yetu ili angalau nijuwe nianzie wapi naamini mtanishauri vyema tu. nipo hapa siondoki nasubiri ushauri wenu

Kwenu wadau.
kwanza weka wazi ushamlamba?
 
Huwezi kupiga hesabu za kuvuka daraja la Salender Wakati Ndio kwanza uko mwenge... Hebu fika pale kwanza...
 
shida kubwa ni kwamba huyu mama ukweli nampenda sana na tunapenda si mchezo alafu nahisi nikiachana naye anaweza ata kujidhuru mana broo kamtenda na mimi ambaye nilifanya huruma pia nikimtenda yaani sipati picha.

amefikia kuniambia hata kama mimi nitaoa tena mwanamke mwenye age ya kwangu yeye hana neon wakiwa 2 alimradi nimemuoa na yeye na anapata mambo yake kutoka kwangu, kikwazo hadi sasa ni broo akijuwa sijuw nitaishi maisha gani kuachana naye moyo wangu hautaki saivi nimemuhisi kama ndio maisha yangu.
Hapo kwenye red, wala sina cha kuongeza, je huyo mwanamke na kaka yako/familia yako nani anathamani maishani mwako??? inshort huyo mwanamke achana nae!!! hamna jinsi.
 
Kwaiyo mimi natafuta hela ulaya huku wewe unajirusha na shemeji yako wewe dogo vipi
 
Back
Top Bottom