Mbona nashindwa kuelewa?!...?!?..?!

Chris_Mambo

JF-Expert Member
Aug 11, 2010
596
119
Jamaji dada zetu, mbona hivi? Zile blauzi ndogo zinazoacha sehemu kubwa ya mwili mbona zinavaliwa bila kuzingatia hali ya hewa? Leo asubuhi nilikuwa nashangaa njiani baada ya kupishana na wadada kibao wakiwa na viblauzi vyepesi, wakati baridi inapuliza ile mbaya mpaka mimi nilishindwa kutoka home bila ya sweta.
Jumapili pia nilikuwa kwenye sherehe ya arusi mahali fulani. Cha kushangaza, bado watu walionekana wakiwa wamevaa viblauzi vyepesi, wakati usiku ule kulikuwa na baridi pia. hamuoni kama mnajitesa? Hata kama mnatuwekea mazingira ya kutuvutia, lakini si kwa namna hiyo. Mnaweza mkavaa nguo nzito na bado mkavutia tu, hamuoni fashion show za wenzetu huko majuu? Kila msimu una aina yake ya mavazi. Msijiumize kwa kuvaa mavazi ya joto hata katika msimu huu wa baridi. hata mkifunika kila kitu na kuacha uso, tutawapenda tu kwa kuwa mliumbwa ili mtuvutie (You are flowers)!
 
na wewe acha kifua chako wazi wakati wa baridi kwani nani kakukataza??
kusema wadad tu nanyie mnavyovaa siku hizi eti suruali inaninginia ****** yote nje sie hatusemi hamwoni kuwa mnatutega?
 
ka ni kuvaa kwa kuzingatia weather na wewe acha kuvaa mijisuti na tai wakati jua kali!?! SMARTNESS HAS NO WEATHER acha wadada watuonyeshe ''utamu'' khaa ka wanakukera nenda Iran alaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom