Mbona Mwanaidi hajafuturisha mwaka huuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona Mwanaidi hajafuturisha mwaka huuu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Game Theory, Sep 28, 2008.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Kwa mara ya kwanza kwenye historia ya Ubalozi wa home away from home (London) bi Mwana idi hajafuturisha..

  Mzee malecelela alikuwa anafuturisha

  Shariff halikadhalia

  Kibelo naye alikuwa najitahidi japo ftuari zake hazikuwa za DRAFTI kama inavyptakiwa

  Hivi gharama ya kufturisha watu 15 ni kubwa sana Bi Mwanaidi? Kama pesa hakuna kwa nini ubalozi usiseme tuu watu wakachanga ?


  Mwaka jana tunajua kulifanyika ftari lakini waislam wa huku waliobject ftari yao kudhaminiwa na mashirika kama nyumbani

  Anyway nimeona bora niwasilishe maoni ya waislam wa East and West midland

  thats all
   
 2. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2008
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu heshima mbele,elewa kila kitu na mipango.
   
 3. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wakubwa Tz kufuturisha limekuwa kama dili la kutangazia biashara. Watu wamelishwa futari zenye lebo za Zain, Tigo, Miss so-and-so, etc, alimradi ni biashara kwa kwenda mbele. Na kwenye futari hizo basi kama kweli ni futari! Hivi hata ambaye hajafunga huwa anafuturu? Utaona wamebandika mapicha ya watu na maneno makubwa "mkuu wa nanihii ya nanihii akifuturu jana katika futari iliyoandaliwa na kampuni ya nanihii!" Sasa sijui hao wengine huwa wanashauriwa wafunge kwanza au wanakwenda tu kujazilizia futari juu ya "ze laga"? Ati hata washindi wa mashindano ya urembo (ambayo yanapingwa na dini mbalimbali) nao wanafuturisha! Wakuu, sawa hiyo? Kwa ujumla hii dhana ya kufuturisha kama inavyotumika sasa hivi Tz imenipita kando kabisa!
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Huh wabongo kwa kulalamika,futuruni majumbani kwenu.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,882
  Likes Received: 83,364
  Trophy Points: 280
  Hata mafisadi wanafuturisha na wakuu wa dini ya Kiislam na waumini wake wamekaa kimya tu. Kufuturisha imekuwa kama matangazo ya biashara na mafisadi kujitafutia umaarufu kwa nguvu. :(
  Itakuwa vizuri Viongozi wa Waislamu wakafafanua ni nani anayeruhusiwa kuwafuturisha Waislamu wakati wa mwezi mtukufu.
   
 6. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2008
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndugu Viongozi wengi wa TANZANIA wanaotumikia nchi za ulaya huwa hawataki watambulikane kuwa ni waislamu
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  Sep 29, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kuna kipindi mambo haya ya milo na maakulat tulikuwa tunayaita MNUSO au MINUSO...!

  Poleni wakuu na wanaharakati wa East and West midland kwa kukosa mnuso kwenye balozi ya home and away...!

  Ingekuwa balozi naye anaomba kula kwa ajili ya kupata kura kwa wananchi, Mheshimiwa Bi Mwanaidi, angekuwa yupo kwenye wakati mgumu kwa wapiga kura wa kutoka East and West midland...! lol

  Poleni wajameni
   
 8. C

  Chuma JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duh GT nilikuwa sijaiona Hii...Kama amefanya Balozi mwaka uliopita si Vibaya..alijisahau...Au alikuwa likizo DSM hivyo akaamua kufuturisha Tanzania....Lkn Pia ni vema hizo shutuma ziwafikie Viongozi wa Umoja wenu huko UK ambao wameshindwa kuji-organize kuandaa Futari hio...na Natumai kama Balozi angefuatwa akakataa kutoa support yake hapo sawa...Natumai yeye ni Binadam kama wanadam wengine..wana mapungufu na Majukum mengi ya kufanya, ni muhim kwetu kukumbushana....
   
 9. C

  Chuma JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni kweli Hivi sasa Futari imekuwa Marketing strategy kwa makampuni...its not Bad as long wanawaita wahusika atleast ku-address umuhim wa kuwasupport wale wasionacho ktk kipindi kisicho cha Ramadhani....Kama Tigo, Zain na wengine wameamua kwa ridhaa yao, basi si vibaya wakawafikiria mamilion ya watanzania walio ktk umaskini...so ile faida yao wanayoipata si vibaya ikaingizwa ktk kuwa boost wananchi maskini....

  Sina Comments kwasasa juu ya Mamiss nao kufuturisha..!!!
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Sep 29, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Futari ya serikali ina ladha gani na futari ya watu kujipikia wenyewe? Jana jioni nilikuwa mahali Watanzania wamealikana kwa futari, na katika mawazo yangu sikuwa nafikiria ati Balozi Ombeni Sefue aandae futari na asipofanya hivyo nishangae kwanini hakufanya ilivyo kawaida au kile ambacho alipaswa kufanya.?

  Neno la kiswahili "kudeka" limenijia mawazoni.
   
 11. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo watu wamezoeshwa sasa wanaona kama ni "haki" yao, wanadeka sasa kama watoto? Makubwa. Mie langu kubwa ni kwamba kwa nini tunakubali mifisadi na watu wengine wenye matendo kinyume na maadili tunayoamini kwenye dini, waje watupenyezee vihafla vya futari ili kwa namna fulani waoneshe kuwa wanakubalika hata miongoni mwa waumini waliofunga? Hivi kwa mfano shoga Elton John akiandaa futari na kutualika tukakubali tutakuwa tunaashiria nini? Sasa kuna watu wenye maovu makubwa kuliko hayo ya kishoga (ushoga ni mtu anajimaliza mwenyewe, lakini maovu ya kifisadi yanaumiza umma mzima), wanaandaa futari, na tena wengine wala si waumini wa dini husika au hawana hata heshima au ustaarabu kwa watu wanaoamini Mungu, wanaandaa futari kama PR trick. Tunavalishwa mkenge sana. Kwa wanazuoni wa dini ya kiislamu nina swali hili: iwapo mwislamu akifuturishwa na mtu anayeshabikia uovu na akaikubali futari hiyo, je funga yake bado inaswihi?
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  huyo utamweza kwa kupenda kuwatukana waislam kwa matusi yake ya reja reja?
   
Loading...