ehee kumbe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 267
- 155
Nimerudi tena tangu wiki iliyopita niliomba msaada lakini naona mmenichunia hakuna hata mmoja aliye nisaidia tofauti na wengine wakiomba msaada wanasaidiwa
Narudi naomba nisaidieni ni wiki moja simu yangu imegoma kuonyesha majina inaandika contact updating..
Kwenye SMS inaandika SMS loading conversation.
Ni wiki sasa nashindwa kupiga simu wala kusoma SMS,maana majina na SMS hazionekani.naomba msaada nifanyeje ili owe sawa