MieMalan
Member
- Mar 27, 2015
- 19
- 3
Inawezekana maana kuna cku ili connect kwenye pc
Ndo ivo mi mwenywe imenitokea sana...halafu zinakuaga nzito sana simu hzo

Tecno H5 ni magumash sana...yani ukiconnect tu kwny PC kupitia USB ndo tatizo hlo mara nyingi hutoke
Ndo ivo mi mwenywe imenitokea sana...halafu zinakuaga nzito sana simu hzo
Cc CHIEF MKWAWA mwl rct et al
Ndo ivo mi mwenywe imenitokea sana...halafu zinakuaga nzito sana simu hzo
Sasa MieMalan wewe ulifanyaje ya kwako ikapona?