Mbona mnakera madereva wa mwendo kasi

Mbona mnakera madereva wa mwendo kasi

Shida ni kwamba hakuna supervision,hakuna monitoring hakuna evaluation.Hakuna wa kupokea na kufanyia kaz maoni ya watumiaji,hilo ni kosa alofanya dereva,ila hakuna Rapid response na abiria hawajui wamwambie nani?

May Allah bless Me and You
Kwenye huu mradi kunamapungufu mengi sana halafu viongozi wameyafumbia nakuendeleza uozo huu ktk huduma ya jamii

Post sent using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwenye huu mradi kunamapungufu mengi sana halafu viongozi wameyafumbia nakuendeleza uozo huu ktk huduma ya jamii

Post sent using JamiiForums mobile app
BRT ni adhabu nyingine kwa wana DSM.


May Allah bless Me and You
 
[emoji23] [emoji23] unamwonyesha alama ya hivi[emoji106] [emoji106] alati anakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao madereva siku hizi wana visilani sana,

May Allah bless Me and You
 
Kusema kweli wana tabia ya uhuni sana hawa madereva. Nilipanda basi posta ya zamani majira ya saa kumi dereva akawa anasema watu wasogee mlangoni lakini kwa kuwa basi lilikuwa limejaza sana kukawa hakuna nafasi ya kusogea alisema kama hamsogei sisimami. Nakumbuka kituo chake alichosimama ni ubongo terminal. Watu walipiga kelele kuanzia kisutu ashushe lakini alikataa. Ikabidi abiria warudi na basi jingine kutoka ubungo kwenda walipokuwa wanashukia. Ni upuuzi mkubwa sana aliufanya huyu dereva. Na alikuwa anasema kabisa nawashusha kimara mkome. Ndio maadili ya kazi yake kweli?
Inawezekana mlipanda malaika tu...hata kofi hakupigwa????

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom