usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,100
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ulichosema ni sahihi. Wanaume wa dar ni waoga saaaaaaaaana. Watu zaidi ya 30 tulipelekeshwa na kamtu kamoja ambacho unaweza kukakunjurua hadi kaarishe tukashindwa
Yan na mkarud kulipa
Nauli mara mbili aiseee!!
Kwan mnakulaga maharage ya wap
Af n wanaume na mindevu juuu
Hapo wote mngekua kila mmoja
Yuko na mkewe mngedharauliwa
Sana iseee,!!! Co kwa uoga huo
[Color= yellow]Triple A[/color]