Mbona mna watoto wawili

Mbona mna watoto wawili

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
Wanaume flani walikuwa wanatambiana kuhusu uwezo wao wa kuuchuna, wa kwanza akasema kuna siku alimpigia simu mkewe akapokea lakini hakusema hallo kwa hiyo nae akauchuna hakukata simu wala kuongea mpaka credit ikaisha, wapili akasema yeye kuna siku alirudi toka kazini baada ya kugonga mlango mkewe akafungua mlango lakini hakusema 'karibu mume wangu' basi akasimama palepale mlangoni mpaka kesho yake na akageuza na kurudi kazini, watatu akasema siku alipooa mkewe akawa anaona aibu kuvua nguo, na yeye akauchuna hakumgusa mapaka leo, wenzie wakamjia juu mbona mna watoto wawili, akajibu mpaka leo nimeuchuna sijamuuliza kawaokota wapi. Nani mkali?​
 
Ha ha haaaa!Hao wote machizi lakini wa mwisho chizi zaidi aisee!!Ha ha haaaa!Naianza weekend vizuri aiseee duh!!
 
Wawili mabwege... Hilo la mwisho limesukulwa,kwetu lingeitwa ndondocha.:juggle:
 
wote ni machizi, tofauti zao ni degree za huo uchizi, wa mwisho yeye ni chizi zaidi
 
Wa mwisho ndo wa kwanza na wa kwanza ndo wa mwisho bana.
 
Wanaume flani walikuwa wanatambiana kuhusu uwezo wao wa kuuchuna, wa kwanza akasema kuna siku alimpigia simu mkewe akapokea lakini hakusema hallo kwa hiyo nae akauchuna hakukata simu wala kuongea mpaka credit ikaisha, wapili akasema yeye kuna siku alirudi toka kazini baada ya kugonga mlango mkewe akafungua mlango lakini hakusema 'karibu mume wangu' basi akasimama palepale mlangoni mpaka kesho yake na akageuza na kurudi kazini, watatu akasema siku alipooa mkewe akawa anaona aibu kuvua nguo, na yeye akauchuna hakumgusa mapaka leo, wenzie wakamjia juu mbona mna watoto wawili, akajibu mpaka leo nimeuchuna sijamuuliza kawaokota wapi. Nani mkali?​

jamaa wa tatu akajibu>hadi leo bado nimemchunia hata cjamuuliza kuhusu hao watoto
 
Back
Top Bottom