Mbona mna watoto wawili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona mna watoto wawili

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kilimasera, Feb 24, 2012.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wanaume flani walikuwa wanatambiana kuhusu uwezo wao wa kuuchuna, wa kwanza akasema kuna siku alimpigia simu mkewe akapokea lakini hakusema hallo kwa hiyo nae akauchuna hakukata simu wala kuongea mpaka credit ikaisha, wapili akasema yeye kuna siku alirudi toka kazini baada ya kugonga mlango mkewe akafungua mlango lakini hakusema 'karibu mume wangu' basi akasimama palepale mlangoni mpaka kesho yake na akageuza na kurudi kazini, watatu akasema siku alipooa mkewe akawa anaona aibu kuvua nguo, na yeye akauchuna hakumgusa mapaka leo, wenzie wakamjia juu mbona mna watoto wawili, akajibu mpaka leo nimeuchuna sijamuuliza kawaokota wapi. Nani mkali?​
   
 2. nelly nely

  nelly nely JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  wote wakali wa misimamo ya kipuuz!
   
 3. Mwana kinyonga

  Mwana kinyonga JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Duh wa mwisho fyuz zimeungua!
   
 4. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaaa!Hao wote machizi lakini wa mwisho chizi zaidi aisee!!Ha ha haaaa!Naianza weekend vizuri aiseee duh!!
   
 5. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Sio wakali wa kuuchuna ila ni mabwege!!
   
 6. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wawili mabwege... Hilo la mwisho limesukulwa,kwetu lingeitwa ndondocha.:juggle:
   
 7. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  wote ni machizi, tofauti zao ni degree za huo uchizi, wa mwisho yeye ni chizi zaidi
   
 8. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hao watakuwa ni wanachama wa CCM!
   
 9. G

  Graucho Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah,,,walijitesa huyo wa mwisho anakula jeuri yake.
   
 10. L

  LANY New Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wa mwisho ni noumer:lol:
   
 11. h

  hayaka JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wote ni vilaza lakini wa mwisho ni kiranja wao.
   
 12. Gabmanu

  Gabmanu Senior Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wa mwisho ndo wa kwanza na wa kwanza ndo wa mwisho bana.
   
 13. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hhaaaaaaaaaaaaaaaa khaa!
   
 14. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...
  Why not CHADEMA !?
   
 15. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  huyo wa mwisho yeye cha mtoto mkewe ndiye mashine!
   
 16. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamaa wa tatu akajibu>hadi leo bado nimemchunia hata cjamuuliza kuhusu hao watoto
   
 17. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  wa mwisho network busy..
   
 18. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,340
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  wote wakali kwani wametoroka mirembe
   
 19. J

  Johnson2012 Member

  #19
  Feb 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hao mafala ila wamwishi mwisho ndo ngoima zaidi
   
 20. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  maneno hayo
   
Loading...