Mbona mimi, why me?

Mbona mimi, why me?

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
1,415
Reaction score
878
Am a man 27yrs old,

Ni mwajiliwa serikalini hapa TZ,

Niliwahi ku-post tangazo la kutafuta mchumba hapa nikaishia kupata kashfa,

Nikisoma thread za watu nakuta comment kibao najua wengi wamePM,

Kuna dada wa mbeya niliPM mara 2 hakuna feedback why me?

A beautflgirl & serious ready for marriage pm me,

Age 23-27.
 
Kalalamike kwenye jukwaa la complain
 
Mkuu njoo nikugawie ImageUploadedByJamiiForums1398462807.037758.jpg

||"Tomorrow will say its a memory and we have enjoyed our lives for a couple of days."||
 
utapata tu!!.mimi na imani kila binadamu ana wake mungu kampangia,vuta subira utampata tu..ukikurupuka utajikuta unavuta majanga ndani.
 
Ahsante Mom fay nimefarijika sana kwa nasaha zako.
 
ur mostly welcome!!.. mimi nilitokea kumpenda sana mtu mmoja,tena sana,maisha yetu yalikuwa ya kawaida sana,sema tulijaliwa furaha na amani na kuridhika,japo mimi sometimes nilikuwa mkorofi namkwaza alinivumilia! but haikuwa mpango wa mungu awe wangu akamchukua! i also believe kama hakuwa wangu na wangu yupo somewhere,although sina imani kama ntapenda tena kama mwanzo ila najua yupo.!!.kwasasa nahitaji tu marafiki.
 
ahsante na pole kwa yaliyokukuta, ila mimi naamini dunia darasa, kupitia dunia tunajifunza, Mungu aliumba jinsi 2 tofauti kwa makusudi, so if u blv on that one day utapata na utapenda tena na kusahau machungu ya nyuma nami nakuombea na iwe hivyo, ubarikiwe.
 
ur mostly welcome!!.. mimi nilitokea kumpenda sana mtu mmoja,tena sana,maisha yetu yalikuwa ya kawaida sana,sema tulijaliwa furaha na amani na kuridhika,japo mimi sometimes nilikuwa mkorofi namkwaza alinivumilia! but haikuwa mpango wa mungu awe wangu akamchukua! i also believe kama hakuwa wangu na wangu yupo somewhere,although sina imani kama ntapenda tena kama mwanzo ila najua yupo.!!.kwasasa nahitaji tu marafiki.

Aisee, pole sana..
 
pole sana..............
 
Mke mwema ni nani awezaye kumuona? hakika waweza muona kwa Mungu peke ake nyenyekea mbele za Mungu hakika utampata tu.
 
Kama umeshindwa kuwaona huko mtaani na kuwaeleza ya moyoni una matatizo makubwa sana.
 
mmmh naona dalili za ww kumpata

Sijampata na wala hakuna dalili ya kumpata na sina mpango tena kutangaza hapa jf kwa sababu wengi mizinguo. nitaanza msako nyumba kwa nyumba.
 
Back
Top Bottom