Mbona michel tu huyu nae mnamjua? Cameroon first lady!

3461775180_135656c804_o.jpg
HUYU FISRT LADY WA Swaziland

hivi mswati ni wa wapi?
 
Ila wajameni huyu festi ledi anajua kujitunza, akapendeza, akameremeta, akavutia, akatamanisha, mi nshamtamani ati!!
 
Ila yuko 'busy'! lakini makosa yangu binadamu mie, akiwa mbaya maneno, akiwa mzuri maneno, hakuna kuridhika kabisa!
 
Ila yuko 'busy'! lakini makosa yangu binadamu mie, akiwa mbaya maneno, akiwa mzuri maneno, hakuna kuridhika kabisa!

ndo kawaida yetu binadamu ukiwa mrefu tutasema ww ni mrefu, ukiwa mfupi tutasema ww ni mfupi, na usipokuwa mrefu au mfupi bado tutasema mbona ww si mrefu wala si mfupi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom