Range rover
Senior Member
- Nov 22, 2016
- 186
- 199
Golikipa manyika alikuwa na game uwanjani.Wadau juzi nilimsikia J.mnyika na cdm wenzake waki mbeza mkulu mara sijui demografia cjui fidia na pongezi za kumuunga mkono,alivyo maliza akaropoka sijui Mbowe atoke mahabusu,saaasa mbona jana sikumuona??Kwanini asingeenda tena kwenye tukio la jana,ana kama yule jamaa wa zobher house.
A nation of lumpen proletariats! A nation of class unconscious people, LIKE YOU!Wadau juzi nilimsikia J.mnyika na cdm wenzake waki mbeza mkulu mara sijui demografia cjui fidia na pongezi za kumuunga mkono,alivyo maliza akaropoka sijui Mbowe atoke mahabusu,saaasa mbona jana sikumuona??Kwanini asingeenda tena kwenye tukio la jana,ana akili kama yule jamaa wa zobher house.
umeongea kiingereza kigumu mimi maimuna,nasema mimi maimunaA nation of lumpen proletariats! A nation of class unconscious people, LIKE YOU!
Taifa la watu msio jitambua, msio na elimu wala vibarua.umeongea kiingereza kigumu mimi maimuna,nasema mimi maimuna
Na ndiyo maana umeandika upuuzi huu . Mnyika pale alitimiza majukumu yake kama mbunge wa eneo husika. Mkuu asikae kusifiwa tu asikie na maoni tofautiumeongea kiingereza kigumu mimi maimuna,nasema mimi maimuna
Wewe wape kiburi tu wajione wanaweza kumbuka wasomi kibao tupo kitaa na mavyeti yetu tukizisaka nafasi zao.Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
asante! hawa chekechea wa vyuo hivi vya UPE hawawezi kujua haya mambo ya Political economy of capitalismand political economy of socialism. Wanajua zidumu fikra za Jiwe, zidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, ndioooooooooooooooooooooooTaifa la watu wasio na elimu na vibarua msiojitambua....
hakuna msomi mtaani , kuna chekechea za vyuo vya UPE. Msomi hajawahi kosa kazi!Wewe wape kiburi tu wajione wanaweza kumbuka wasomi kibao tupo kitaa na mavyeti yetu tukizisaka nafasi zao.
Watakapo kosa vibarua vyao nadhani wewe ndo utawaconsole mzee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kapimwe tezi dume wewe, halafu nani kakwambia tumekosa kazi??? Uelewa wako mfinyu kama piritonhakuna msomi mtaani , kuna chekechea za vyuo vya UPE. Msomi hajawahi kosa kazi!
Ndio maana nakwambia wewe ni kutoka UPE! Tezi dume has nothing to do with mental ability! Kwa hilo tu wewe ni kutoka vyuo vya UPE. Ukiona "msomi" anaongea mambo ya piriton ujue huyu nu kapoot!Kapimwe tezi dume wewe, halafu nani kakwambia tumekosa kazi??? Uelewa wako mfinyu kama piriton
Hahahaha hakika msomi hajawahi kukosahakuna msomi mtaani , kuna chekechea za vyuo vya UPE. Msomi hajawahi kosa kazi!
Wache walielie tu kizembe oh nimekatwa 30,000 bila ya maelezo...wanyooshe jiwe baba!Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
You must be cheap! cheap in all aspects of life! Everybody is a candidate/prone ( to) of Tezi dume, it might be you tommorow after 40 yrs. nakupa elimu. kesho ukifika 40+ yrs you can be one of the victims of age related prostate gland complications!Kapimwe tezi dume wewe, halafu nani kakwambia tumekosa kazi??? Uelewa wako mfinyu kama piriton
Inaelekea wewe ni wa kipindi kilee, unamjua Maimuna! Tangazo lilikuwa linaniacha hoi sana.umeongea kiingereza kigumu mimi maimuna,nasema mimi maimuna
Muhimbili wanahitaji walimu/tutorial assistants wenye 3.8 GPA MDs (from renowned universities-siyo Kampala Univ).. kama unayo kazi tele. na hakuna anyeweza kumwacha mtu mwenye GPA ya 3.8 and above! Imaculata Mosha from marian Girls , TO, yuko Microsoft USA! walimtafuta wenyewe na wala hakuomba kazi!Hahahaha hakika msomi hajawahi kukosa
Mzee leo umechafukwa sana.You must be cheap! cheap in all aspects of life! Everybody is a candidate/prone ( to) of Tezi dume, it might be you tommorow after 40 yrs. nakupa elimu. kesho ukifika 40+ yrs you can be one of the victims of age related prostate gland complications!