Mbona mambo yamesimama PSPTB

Mbona mambo yamesimama PSPTB

guruguja

Member
Joined
Sep 30, 2017
Posts
19
Reaction score
11
Bodi ya UGAVI na MANUNUZI Tanzania Kuna Nini mbona mambo yamesimama tatizo lipo kwa Nani hasa watu wametuma maombi ya kusajiliwa tangu mwezi wa Tisa 2020 Lkn hamna usajiri unaofanyika, mitihani Ina ahirishwa tu, matokeo hayatoki kwa ufupi shughuri zimesimama, Nani mhusika arekebishe bodi iwe active.Naomba liangaliwe Hilo kwa undani na wahusika.teuzi nyingi za bodi tunaziona vp PSPTB?
 
Back
Top Bottom