Mbona mama huwa anachelewa Sana kutoa salami za rambirambi?

Pengine taarifa anachelewa kuzipata kutokana na wanaotakiwa kumpa hizo taarifa kutofanya hivyo kwa wakati.
 
Naomba Madam President asitoe hata salamu. Sioni kama kuna faida salamu za msiba wakati hakukuwa na salamu zozote za kumtakia afya njema wakati wa ugonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…