Hata mimi huwa wananishangaza.Eti kamanda wa vijana jitu kubwa libaba la makamu..Kwani vijana wenyewe hawawezi kuwa makamanda?Ila msiwashangae sana mmesahau hata JK wakati anagombea alisema yeye ni kijana?mmesahau hata Nchimbi aliendelea kuwa Mwenyekiti wa UVCCM akiwa ameshapita ujana kikatiba?mmesahau hata kina Masha na David Mathayo wanajiita wabunge vijana?kwa CCM hata ukiwa una miaka 60 wewe ni kijana,teh teh teh!