Mbona Lowassa hatembelei tena maeneo ya masikini au ilikuwa 'kiki'?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,627
Habari wakuu mimi naomba kuuliza kwa wanaoweza kunijibu wanijibu. Mbona mzee Lowassa simuon tena akipanda yale magari ya Gongo la mboto, mbona hatembelei lile soko au wakati ule zile zilikua ni kiki za kutafuta kura?

Naomba kujuzwa waungwana
 
Kwa hiyo mnataka apande daladala tena ila hamtaki kwenda kuwashukuru wapiga kura?? Si mlimzuia nyie asizunguke mikoani kuwashukuru maana naamini hizo daladala alizopanda walimpa kura naamini amgewazungukia kuwapa shukrani kwa support waliompa sema mkamzuia sasa mnataka alazimishe mumweke ndani na kumzungusha dhamana kma lema??
 
Na mimi nakuuliza mkuu yule aliyekuwa anapiga push ups majukwaani bado anapiga tena? Huyo huyo alikuwa anatokea mlango wa juu wa gari kama kibaka na kuruka chini bado anafanya hivyo
 
Serikali ya CCM ilimkataza ila kama unataka apande tena mchukulie kibali hapo Lumumba maana kwa sasa akisema apande mheshimiwa atapata kiharusi bure
Mimi sio mwana ccm lakin nikitaka kujua chanzo yeye sikazuiwa kufanya siasa kwan kupanda gali la gongo la mbonto ni kufanya siasa
 
Nakupongeza kwa kumpa cheo chake lowassa!! FATHER LOWASSA!! Yani mpaka faru john likimwona tu linatamani kulia
Lowasa ni father na ni mheshimiwa na ni kiongoz waziri mkuu musitafu hilo nalijua kwahiyo namuheshimu sana lakin hujajibu kwanini hapand tena yale magali
 
Mkuu MENGELENI yaan ushamaliza kuongea yote maana hizi bangi za mchana zinawawehusha hawa vijana wa lumumba
Mbona unatukana kiongoz nenda kwenye mada husika sio kutukana
 
Habari wakuu mimi naomba kuuliza kwa wanaoweza kunijibu wanijibu. Mbona mzee Lowassa simuon tena akipanda yale magari ya Gongo la mboto, mbona hatembelei lile soko au wakati ule zile zilikua ni kiki za kutafuta kura?

Naomba kujuzwa waungwana
Swali la kitoto sana!
 
hivi ushajiuliza kwanini Push up hazipigwi tena
 
Nayale mamilioni aliyokua akitoa makanisani na misikitini na kusisitiza kwamba sasa nizamuya walutheli kuingia ikulu kwa sasa hayapo mbaka2020.
 
Nyumbu wakati wa kikwete walizungusha mikono kutaka mabadiliko sababu ya maisha kuwa magumu,

Wakati wa magufuli wanalalamika tena pesa imepotea!!!

Bavicha mlishawahi kupata pesa lini??

Ngoja tusubili awamu hii, sijui watazungusha kiuno au makalio hatujui.
 
Ooo iiiii ahahahh mkuu punguza ukali wa maneno
 
Back
Top Bottom