Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,232
- 10,113
Samahan kwn bongo kuna cartoon yyt?
Zipo nyingi hujaona ile educative katuninya ubongo kids?Samahan kwn bongo kuna cartoon yyt?
Ipo pia ya hadithi za tinga tingaSamahan kwn bongo kuna cartoon yyt?
Louder!hii ngoma unaweza ukawa unaiangalia kila siku ukagundua kitu kipya
Duh kama ndo tingatinga bac ss bado sanaIpo pia ya hadithi za tinga tinga
hata clip ya sekunde 5 hawawezi??inahitaji bajeti kubwa??Bajeti mzee baba, mimi pia nilisoma 2D na 3D animation, ila implication yake ndo utata mpaka sasa nishaifuta kichwani.
hata clip ya sekunde 5 hawawezi??inahitaji bajeti kubwa??
Kuna mwamba humu Jf alisema anaweza kutengeneza animation...nkamwambia kuntengenezea animation ya music video kama ule wimbo wa partynextdoor ft. Drake-Loyal
Akasema nimgei 1M anatengeneza
kuna ukweli hapo bwashee?
Thirsty brother!!!dah scene za kukumbuka ni nyingi.
wale bundi
alipokimbizwa na mwewe jangwani
alipoingia bar(my favourite)
alipopigana na mwewe na kumuua
walipoenda kuchukua maji j5 wakakosa
aliporuhusu maji yaibiwe benki
walipowafukuzia wezi wa maji
alipopigana na nyoka Jake
kokotoa primary schoolHuku kwetu kuna akina kubena... Hahaaaaa ila somehow watoto wanajifunza hisabati
Itafute zootopia mkuu hiyo nyimbo imetoka humo.Kuna Nyimbo ya shakira inaitwa Try Everything dah yani utaipenda.
Panya:"whats the matter,you missing your mommy's mangoes??"Thirsty brother!!!
Caller tune hiyo ya kibabe sanaPanya:"whats the matter,you missing your mommy's mangoes??"
Rango:"As a matter of fact I am,but not as much as your daddy's cooking...."
Panya:"exactly where did you say your from?"
Rango:"Me? Im from the west...out there beyond the horizon..So No,my haisome little rodent friend, I am not from round these parts...You might say Im from everywhere there's trouble brewing and hell waitin' to be raised..You might say I'm what hell's already raised up...The Name is Rango"
Hapo hajakuelewa muambie hivii gharama za kujenga kiwanja cha taifa Dar es Salaam ( kwa mkapa ) ni dola mil 53 ... kutengeneza animation ya rango ni dola mil 135 maana yake ni viwanja viwili vya taifa na chenji ya kujengea Barabara ...rango?
budget ya rango ni usd 135 million sawasawa na kama billion 300 za kitanzania.
unayo hiyo budget?