Mbona kama nimeachwa hivi

Mbona kama nimeachwa hivi

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,328
Reaction score
11,463
Dah! Yaani hata sielewi...

Kuna huyo mwanamke tulitokea kupendana sana.

Previous (Early 2023), alikuwa jirani tu wa kawaida, ila kuna kipindi mipango yangu ilikwenda mrama sana, nikasumbuliwa na janga la njaa kali. I'll never forvet the day niliyoanguka kolidoni nusu nife, alikuwa katulia pembezoni akiwa anacheka na simu yake, alishtuka sana, akaja mbio na kuniuliza shida ni nini! Nikamwambia niko sawa tu, ni kama malaika alimwingia, akaniletea msosi, ule msosi sintousahau kwa kweli. Niliufakamia haswaa

Alikuwa mdogo kiumri, hakuwa na muda mrefu sana tangu kuhamia hapo, ila chanzo cha kuja kupanga hapa nilipo ni ugomvi mzito kati yake na mumewe. Lich ya udogo aliokuwa nao, alikuwa na upeo mkubwa sana wa maarifa. Masaa machache baadae alinifanyia interview ambayo nilikuwa nikijihisi aibu sana kuelezea, lastly nikamwambia mipango yangu haiko sawa, hivyo akawa ananipatia chakula kwa muda wa mwezi mzima mpaka mambo yangu yalipokaa sawa

Baada ya mambo kuwa fit nikaanza kurudisha fadhira za hapa na pale. Sikuwa kufunguka kwa namna yoyote ile kuwa nampenda kwa kuwa hakuwa akilini mwangu kabisa, sio kwamba ni mbaya, la hasha, ni vile tu nilimchukulia kama dada

Dec 2024 tulishangaa sana kuona hisia zetu zinazungumza na kusafiri pamoja, sijui kwa upande wake, lakini kwa upande wangu niliiona mbususu yake iliyododa, alikaa vibaya hiyo siku, dah! ile kutazama mbele yake akakuta mjuba namchungulia. Lahaula! Dk hizo hizo nilikimbilia bafuni kuwakamua wazungu, muda natoka tu namkuta kasimama kwa nje ananitizama tu, akawa ananiuliza "Uliona nini na unatoka humo kufanya nini", akatazama chini kisha akaniambia "Melki, umesahau kubusu ukuta". Mapenzi yetu yakaanzia pale, tukatoka kwenye udada hadi kuwa mapenzi

Lile penzi sintokuja kulisahau, we fell under deep emotion, haijawahi tokea, hata sikumbuki tulianzaje, later on alinitunuku for the second time in 2025 early. Baada ya hapo alianza kujiskia sana kwa kuwa nilionesha kumpenda na kumjali sana. Hivyo nikazuga kupunguza upendo. Hakuna mabadiliko niliyoyaona, hadi leo hii ni mwezi wa pili hajanitumia hata Hi kwenyw sms japo whatsapp status zangu ana view. Kwa taarifa za redio mbao amerudiana na mumewe

Alamsiki....
 
Mlipendana au wewe ndiye pekee uliyempenda?Vumilia.
 
Tulipendana. Nilimpenda na yeye alinipenda. Sio tu kupendeana sehemu zetu za siri. Pia tulithaminiana miili na matumbo yetu kwa ujumla. Kwani kuna definition nyingine ya upendo mbali na hiyo?
 
Nimechungulia biblia na nimeona imeandikwa..."mume ampende Mke.Na mke amuheshimu mume"...! Mengine naangalia kama nitayaona.
 
Acha nyeto mkuu...Kuna doctor alisema na kauli yake inaishi ndani ya kichwa changu""if you do musterbation to the level of being addicted by it,, you will never enjoy sex with woman throughout your life.""" Yaani unaona ua zuri unakimbilia bafuni kumwaga shahawa zilizotoka kiwandani??? Hizo ni nguvu zako na maji ya thamani baada ya damu...Sio ya kumwaga kama mkojo.Put respect on your sperm brother..
 
Wakati mwengine ukimuona mwanamke Yuko kaacha utamu wake wazi mwambie Tu akae vizuri,,au mwambie twende nikakuonyeshe kitu ili asimame umtoe hayo mazingira..Maaña utakuja kuona ua la mwanao nalo utaenda kulipigia puchu...Puchu is something worse and stupid (very stupid)
 
Back
Top Bottom