Kulikuwa na utawala wenye ukatili wa wazi wazi na matendo yenye kufanana na hapa kwetu.
Ila walipovuka mipaka wakajikuta tumemtoa mpaka yeye.
Kitendo cha kufanya yale yale kuvuka mipaka kitakuja kumfanya kama alivyofanyiwa IDD amin.
Kumbuka hata ZNZ ilisaidiwa na mtu wa Uganda.