dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,907
- 8,263
Kwa vipi mkuu?Agiza uone kivumbi
Ti-hara-hei.Kwa vipi mkuu?
AhaaTi-hara-hei.
Show room linauzwa 22m hadi 25m, ukilitumia miezi miwili tu ukitaka kuliuza bei ni kuanzia 18m kushuka chini na wahitaji wamepungua mno.Kuna habari gani?
Sasa itakuwajeDualis Zina tatizo la kuungua moto
AiseeShow room linauzwa 22m hadi 25m, ukilitumia miezi miwili tu ukitaka kuliuza bei ni kuanzia 18m kushuka chini na wahitaji wamepungua mno.
Hii gari ukiachana na kuungua huwa linapungua nguvu gear box ikipata moto, hata ku overtake inakuwa shida. Hakuna gar humo
Kazi yangu ni kuuza magari but mteja akinipaga option ya kumchagulia gari huwa naiweka mbal sana hyo gari sabab lawama dakika 2 tuKuna habari gani?
Kweli kabisaKazi yangu ni kuuza magari but mteja akinipaga option ya kumchagulia gari huwa naiweka mbal sana hyo gari sabab lawama dakika 2 tu
Kazi yangu ni kuuza magari but mteja akinipaga option ya kumchagulia gari huwa naiweka mbal sana hyo gari sabab lawama dakika 2 tu
Sasa gear box yake ndo pasua kichwa hatarimwanangu kaigiaza kwa 21m
Aliweka mafuta hizi petro station uchwara
Ikaana kumiss,mara chech engine gari imebadilika total
Kaambiwa mafuta machafu
Asee wenye dualis kuweni makini na fuel
nissan juke ina shida kama hizo?Kazi yangu ni kuuza magari but mteja akinipaga option ya kumchagulia gari huwa naiweka mbal sana hyo gari sabab lawama dakika 2 tu
Juke iko vizuri japo haijafanya vizuri sana sokoni hasa Africa kutokana na shape yake mbaya.nissan juke ina shida kama hizo?
Kwa ushauri wako mkuu, ukiwa na kama 22M. Bora uchukue gari gani la juu? Maana nlikua naiwazia hii gari.Kazi yangu ni kuuza magari but mteja akinipaga option ya kumchagulia gari huwa naiweka mbal sana hyo gari sabab lawama dakika 2 tu
Sogea sogea mpaka kwenye 28m then untafute nkupe sehem ukachukue haria new au vanguard 5 seatsKwa ushauri wako mkuu, ukiwa na kama 22M. Bora uchukue gari gani la juu? Maana nlikua naiwazia hii gari.